Kabudi na Lukuvi hawapo kwenye mfumo rasmi wa shughuli za serikali. Ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi

WANAJIPIGIA TU HELA ZETU Wkati WENGINE hata ajira hakuna ,. IPO SIKU MUNGU ATATUAMULIA HIZI TABU
 
Hii tunarudia kumwambia raisi Samia na washauri wake (ambao katika hili sioni kama walimshauri) kuwa kama ulishaamua kuwatema hawa watu basi endelea na msimamo wako...
Mkuu kifupi ni kwamba Chief Hangaya kajiongezea ma secretaries wawili PS. Na kazi kuu ya hawa miamba si nyingine zaidi ya kusinich na kumtengenezea Mama njia come 2025..
 
Ana struggle kuongoza wakati huo anahofu ya kupoteza. Anajaribu kupunguza nguvu ya kila anaemuona ni tishio kwake. Ukiangalia kwa jicho la tatu hata kesi ya mbowe ni mkakati wa uoga wake. Mikopo ni uoga, tengua tengua ya kina Lukuvi yote ni muendelezo wa uoga. Speaker Ndugai ni uoga... Kuwaingiza JK company nk. Hatuitaji rais wa aina hii kwa sasa hana muda wa kuangalia maslahi ya nchi zaidi ya kulinda kiti.
You nailed ït bro...
 
Hata hivyo sijaona wakiapa/ kuthibitisha kutumikia cheo chochote. Na bado sifahamu ni majukumu gani rasmi waliyopewa! Siasa za nchi hii ni kama series za filamu za kimarekani au kikorea.
Upande mmoja chief hangaya anaongoza nchi asiyo ijua vyema ... amekuwa bara kitambo lakini kwa majukumu mahususi sio general hajui utamaduni wa kila eneo.... hata aina ya watu anaowaongoza hawajui...

Katiba ndo tiba na suluhisho la yote haya.
Je, Katiba iliyopo inasemaje?
Je, bado tu hamuoni umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya, Bora na ya wananchi!
 
Hata hivyo sijaona wakiapa/ kuthibitisha kutumikia cheo chochote. Na bado sifahamu ni majukumu gani rasmi waliyopewa! Siasa za nchi hii ni kama series za filamu za kimarekani au kikorea.
Wanasubir wzr mkuu ajiuzulu lkn naona kama kakomaaa ili kama kutolewa bas atolewe tu si yy kujiuxulu
 
Hii tunarudia kumwambia raisi Samia na washauri wake (ambao katika hili sioni kama walimshauri) kuwa kama ulishaamua kuwatema hawa watu basi endelea na msimamo wako...
We mwenyewe kama ni Me na una ndoa lakini hua una michepuko na unatumia pesa Kwa faida zako

Sometimes wewe kama ni Raia wa kawaida elewa kwamba serikali ni zaidi ya uijuavyo, siyo kila kitu cha kujadili tu na hujui lolote kuhusu unacho sema
 
Una uhakika mimi ni raia wa kawaida? Unaweza kuthibitisha kuwa una ufahamu wowote kunizidi? Mtu anayeamini serikali ni jitu flani lenye siri ni mjinga tu na kimsingi ndio hajui hata serikali ni nini.
 
Matumizi mabaya zaidi ya kodi za wananchi ni Rais fisadi kuhamasisha ufisadi kwenye Serikali yake tena kupitia TV ya Taifa🤡🤡🤡
 
Upande mmoja chief hangaya anaongoza nchi asiyo ijua vyema ... amekuwa bara kitambo lakini kwa majukumu mahususi sio general hajui utamaduni wa kila eneo.... hata aina ya watu anaowaongoza hawajui.

Ana struggle kuongoza wakati huo anahofu ya kupoteza. Anajaribu kupunguza nguvu ya kila anaemuona ni tishio kwake. Ukiangalia kwa jicho la tatu hata kesi ya mbowe ni mkakati wa uoga wake. Mikopo ni uoga, tengua tengua ya kina Lukuvi yote ni muendelezo wa uoga. Speaker Ndugai ni uoga. Kuwaingiza JK company nk. Hatuitaji rais wa aina hii kwa sasa hana muda wa kuangalia maslahi ya nchi zaidi ya kulinda kiti.

Kibaya zaidi ameruhusu hisia kuongoza akili... hii ina maana gani... mosi hana muda wa kutafakari wala kupata ushauri kwa watu tofauti kuhusu nani amsaidie nini na wapi.. technical know how.

Ukiangalia teuzibzake unabaki kushangaa tu mfano Tume ya madini kumweka Janeth Ruben (former Barrick HR manager) kuwa mkuu wa tume ni ujinga wa mwaka... hana uwezo wa kuleta mabadiliko chanya kwenye sector.

Kumuondoa Prof Manya pia ni kudhindwa kuelewa watu gani wakusaidie nini wapi. Huu ni mfano mdogo tu wa kushindwa kufanya maamuzi sahihi.

Ni kweli mkuu anaonekana hana muda wa kutafakari wala kusoma na upo uwezekano team aliyonanayo wanafanana katika haya. Of course akina mama emotions huwa zinakuwa na nguvu zaidi kuliko akili lakini kwa kiongozi kama yeye juhudi zake binafsi na za team zinapaswa kuelekezwa kwenye kupunguza madhara ya hili vinginevyo sote twafa.

Mfano mdogo tu, huyu mama mara kadhaa amerudia kusema hadharani kwamba waliunda Tanesco (mara ya kwanza alisema Unesco) ili kupeleka umeme vijiijini, however I'm pretty sure alipaswa kusema REA maana hiyo ndiyo yenye jukumu hilo. Unapoona kitu kdg kama hiki kinampa shida hayo makubwa hali ikoje? Sote tunaona dhahiri hali.
 
Upande mmoja chief hangaya anaongoza nchi asiyo ijua vyema ... amekuwa bara kitambo lakini kwa majukumu mahususi sio general hajui utamaduni wa kila eneo.... hata aina ya watu anaowaongoza hawajui.

Ana struggle kuongoza wakati huo anahofu ya kupoteza. Anajaribu kupunguza nguvu ya kila anaemuona ni tishio kwake. Ukiangalia kwa jicho la tatu hata kesi ya mbowe ni mkakati wa uoga wake. Mikopo ni uoga, tengua tengua ya kina Lukuvi yote ni muendelezo wa uoga. Speaker Ndugai ni uoga. Kuwaingiza JK company nk. Hatuitaji rais wa aina hii kwa sasa hana muda wa kuangalia maslahi ya nchi zaidi ya kulinda kiti.

Kibaya zaidi ameruhusu hisia kuongoza akili... hii ina maana gani... mosi hana muda wa kutafakari wala kupata ushauri kwa watu tofauti kuhusu nani amsaidie nini na wapi.. technical know how.

Ukiangalia teuzibzake unabaki kushangaa tu mfano Tume ya madini kumweka Janeth Ruben (former Barrick HR manager) kuwa mkuu wa tume ni ujinga wa mwaka... hana uwezo wa kuleta mabadiliko chanya kwenye sector.

Kumuondoa Prof Manya pia ni kudhindwa kuelewa watu gani wakusaidie nini wapi. Huu ni mfano mdogo tu wa kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
Hapana. Hiki ulichoongea hapa hakiko sahihi. Kosa kubwa ambalo watu wengi wanafanya katika ku-judge decission za Mama ni kwamba walio wengi wanamchukulia Mama kama Rais aliyechukua nchi baada ya Uchaguzi Mkuu, wakati siyo. Mama amechukua nchi katika hali ambayo ni ya EMERGENCE, na huwezi ukajua hiyo EMERGENCE iliisha au bado ipo kwa sababu wenye kuamua hilo ni wengine na siyo yeye peke yake

Mama kama Rais wa nchi, kwa muda huu wakati mwingine analazimika hadi kuwa anaongea kama mwalimu wa wanafunzi wa shule ya msingi kwa sababu tulio wengi hatumuelewi, ila kwa vitu ambavyo viko obvious sana na ambavyo yeye mwenyewe asingetarajia tusimwelewe. Jana tu nimemsikia akifafanua juu ya URAIS kama taasisi, na si kama mtu, mwishowe amelazimika kurudia kitu hicho ambacho almsot kila mmoja anakielewa. Hapa sasa ndiyo pale unapoweza kuona ile FACT ya kwamba tunamlazimisha kuwa kama mwalimu wa shule ya msingi!.

NAOMBA TUWE TUNAJADILI KWA KUANGALIA MATUKIO MUHIMU YALIYOPITA NA YALIYOPO, VINGINEVYO TUTAMPA KAZI KUBWA MUNO MAMA, YA KUWA RAIS HALAFU TENA NYINGINE YA KUMLAZIMISHA KUWA KAMA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI

Vitu vingi anavyofanya Mama, viko OBVIOUS sana, kwa watu wanaofuatilia matukio kwa kina wala hawahitaji kuhoji chochote. Mama is SUPERB, tuendelee tu kumuunga mkono kwa kuchapa kazi, KAZI IENDELEE
Bobby
 
Huyu bibi amekosa msimamo yaani anaendeshwa na mawazo ya watu,kama aliamua kuwatoa kabudi na lukuvi si angeshikilia msimamo wake?
 
Yote hii imefanyika ili kuwaondoa watu wenye uwezo na kuweka vilaza kwa kisingizio kwamba wanawapa kazi nyingine, na kazi zenyewe kimsingi ni za kufoji, hazipo
 
Upande mmoja chief hangaya anaongoza nchi asiyo ijua vyema ... amekuwa bara kitambo lakini kwa majukumu mahususi sio general hajui utamaduni wa kila eneo.... hata aina ya watu anaowaongoza hawajui.

Ana struggle kuongoza wakati huo anahofu ya kupoteza. Anajaribu kupunguza nguvu ya kila anaemuona ni tishio kwake. Ukiangalia kwa jicho la tatu hata kesi ya mbowe ni mkakati wa uoga wake. Mikopo ni uoga, tengua tengua ya kina Lukuvi yote ni muendelezo wa uoga. Speaker Ndugai ni uoga. Kuwaingiza JK company nk. Hatuitaji rais wa aina hii kwa sasa hana muda wa kuangalia maslahi ya nchi zaidi ya kulinda kiti.

Kibaya zaidi ameruhusu hisia kuongoza akili... hii ina maana gani... mosi hana muda wa kutafakari wala kupata ushauri kwa watu tofauti kuhusu nani amsaidie nini na wapi.. technical know how.

Ukiangalia teuzibzake unabaki kushangaa tu mfano Tume ya madini kumweka Janeth Ruben (former Barrick HR manager) kuwa mkuu wa tume ni ujinga wa mwaka... hana uwezo wa kuleta mabadiliko chanya kwenye sector.

Kumuondoa Prof Manya pia ni kudhindwa kuelewa watu gani wakusaidie nini wapi. Huu ni mfano mdogo tu wa kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
Naunga mkono hoja hii. Mama inabidi ajitahidi kupunguza gharama za matumizi japo anajitahidi kutafuta fedha mpaka kwenye mikopo lakini serikali yetu ni kubwa sana. Kuna watu wengi wanahudumiwa moja kwa moja ambao wangepunguzwa. Kama kwenye mikoa.

Hili la Kabudi na Lukuvi mimi naweza kuliita ni changa la macho la kiswahili. Kama wametemwa wangetemwa waende kufanya shughuli zao binafsi wakajiajiri.

AliongeaJenerali ulimwengu kwamba raisi ana mzigo mkubwa wa kuteua watu katiba mpya ipunguze huu mzigo. Mfano Bibi Janeth Reuben hana achievement yoyote kama HR Manager wa Barrick na sababu alikuwa hana kazi akaomba kazi ya HR manager Toyota mara paap tunashangaa kateuliwa Kamishna wa madini hata qualifications hazitoshi. Hii nchi inaendeshwa sana kwa kushikana mikono maswahiba huyu hakufaa kabisa ukamishna wa madini.

Waliosogeza file kwa Katanga watakuwa wamesogeza kimichongo huyu atengukiwe mara moja. Atafutwe mtu mwenye background ya operational mining tena engineer. Ni mara mia wangempa mtu kama Philbert Rweyemamu general manager wa Shanta mining huyu ana uzoefu na elimu ya kutosha na ni mining engineer.
 
Back
Top Bottom