Kabudi Ni kati ya waasisi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na ndo wadau wa kwanza wa kudai mabadiliko ya katiba miaka 25 iliyopita since 1995 kilipo anzishwa na kuwa mjumbe wa bodi mpaka alivyoteuliwa kuwa mbunge. Ni muandishi wa machaposh mengi kuhusu katiba pia.
Hiki ni kipimo cha Prof wa Tanzania. Prof. Kabuki. Mtu anayesaliti taaluma yake kwa madaraka na njaa. Prof. ni mtafiti anayeamini kuhusu matokeo ya utafiti. Sasa yeye alifanya utafiti kwa kukusanya maoni ya Wtz na kuhusika kuyaweka katika rasimu ya Katiba. Leo anayapinga/saliti.
Hawa wanaharakati wa katiba mpya, wengine wao ni zao la Kabudi na amewapika yeye mwenyewe. Kusaliti movement yako na kuanza kufanya "Spinning" kwa Apprentices wako ni laana tu. Historia itakuandika hatujui how.Lakin nakuasa ni heri unyamaze na itakuandika kama Kawawa . Viongozi wetu wa kisiasa wote wa Tawala na wa upinzani mjifunze kuogopa Karma, Ikipita na wewe watakaofedheheka ni familia yako na kizazi chako kwani tunawajua watanzania kuwa hawasahau na tumeshajionea wenyewe fedheha wanazopata wengineo. It is KARMA
Palamagamba Kabudi; msomi, mwalimu, mshiriki harakati za kutafuta katiba mpya (UDSM ukumbi wa Nkurumah), mjumbe wa tume ya katiba, akawa waziri wa katiba na sheria, Anatia kinyaa kusema katiba hii ni madhubuti.
Pichani akiwa porini kutafuta maoni ya wananchi na tume ya WARIOBA.
Mnamlaumu bure, kwa sasa hayuko huko kama Prof. Kabudi, yupo kama Waziri wa Katiba na Sheria na katu hawezi kwenda kinyume na utashi wa serikali...Kama atataka kusimamia yake basi inabidi ajiuzulu na yenyewe siyo sawa kwakua ni kumkwamisha Rais ambaye hajatofautiana naye kiitikadi...Nyie endeleeni na kuwasilisha hoja zenu pasipo mashinikizo