Kabudi ni wakati wa kunyamaza; karma ikikunyamazisha familia yako itafedheheka sana

Mnamlaumu bure, kwa sasa hayuko huko kama Prof. Kabudi, yupo kama Waziri wa Katiba na Sheria na katu hawezi kwenda kinyume na utashi wa serikali...Kama atataka kusimamia yake basi inabidi ajiuzulu na yenyewe siyo sawa kwakua ni kumkwamisha Rais ambaye hajatofautiana naye kiitikadi...Nyie endeleeni na kuwasilisha hoja zenu pasipo mashinikizo
 
Kawawa ameingiaje hapo? Alifanya nini na history imemuandika nini?
 
Prof. Kabudi yuko sahihi kabisa....

Kuandika vitabu na kusimamia falsafa fulani haina maana huwezi KUBADILIKA huko mbele.....

Hivi hakuna wasomi waliokuwa ni WAPAGANI na baadaye wakaingia katika IMANI ZA DINI na kuandika mpaka VITABU kukosoa waliyokuwa WAKIYAAMINI ?!!!

Kwani PROFESA hawezi kuandika kitabu chengine akakosoa KITABU CHA MWANZO?!!!

Tumeona mpaka wazee wa NADHARIA(THEORIES) wakikosoana na kukosoa walioamini kabla....HUU NDIO USOMI....HIZI NDIZI NJIA ZA KISOMI ambazo MTOA HOJA hataku kutambaa kwa MAWANDA YAKE.......

Prof.Kabudi kusimamia misimamo mipya isionekane kuwa ni "MCHUMIA TUMBO".....

Kwangu anabaki kuwa ni msomi kama alivyo Dr.Mwakyembe pamoja na kukigeuka kitabu chake cha SERIKALI 3.......

Prof.Kabudi amesema ya kwamba ,Katiba yetu inajitosheleza....KISIASA IKO VYEMA...hatukupata shida baada ya kufiwa na mpendwa wetu hayati JPM.....

#KatibaYetuInatosha
#KaziIendelee
#UchumiKwanza
 
MUNGU katulia siku hizi,ila SOON atafanya Jambo lake. Tunzeni hii comment. Hawezi kuvumilia mtu Kama kabudi. Subirini amalize vikao vyake na Israeli
 
CCM ndivyo walivyo...chama kwanza nchi baadaye
 
Sasa kama ni mbovu si uhamie CCM kwenye katiba nzuri mkuu? Sisi tunataka katiba ya nchi
 
Hii mizee ndio maana inakufa stroke mshenzi sana huyo mzee.
 
Palamagamba ni muumini mzuri sana wa Seriali tatu na moyoni mwake anatamani kuiona Katiba mpya. Anachokifanya sasa ni hofu ya kutupwa tena jalalani walipomuokota mara ya kwanza
 
Acha mzaha kwenye mambo mazito
 
Unatania Mkuu?
 
Serious Mkuu unamaanisha?
 
Huyo ni chokoraa, kwani kwa kinywa chake mwenyewe alikiri kuwa Magufuli alimuokota jalalani.
 
Asisahauliwe Profesa Lipumba,huyu amekubali kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa tamaa ya kulijaza tumbo lake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…