Botswana will take a 24% stake in Belgian gem processing firm HB Antwerp as it seeks to gain more value from its diamonds, President Mokgweetsi Masisi said Monday, a move which might start to loosen De Beers' grip on the country's diamond industry. Botswana’s state-owned diamond trading...
ca.style.yahoo.com
Botswana wana 24% share ya mgodi wao wa almasi na De Beers; na sasa hivi wapo kwenye renegotiations wanataka 50% sio economic split kama sisi na Barrick.
Watu wamewekeza $2 billion miaka zaidi ya 20 bado wana 84% ya mgodi ambao kwa mwaka unazalisha $1 billion, halafu unajitapa. Si ajabu na huko wametumia hiyo hiyo model ya Kabudi kwenye mkataba wa Twiga.
Kabudi sio mtu wa kujadili mikataba ya kibiashara hayo mambo ni finance sasa Kabudi na hayo mambo wapi na wapi. Anachojua yeye toka aingie kwenye siasa ni kulamba miguu tu, akiulizwa ameona mikataba mingapi Africa mpaka ajitape huo ni wakipekee hawezi kuwa na majibu.