chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,332
Siku ya kuondoka jeshi la Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Kabul, taliban waliingia kwa mbwembwe na furaha ikawajia, baada ya kuona ndege za kivita na helicopters aina Hawks na Magari ya Hunvee yalioaachwa na jeshi la Marekani, kumbe Wamarekani waliharibu kila kitu ambae sio rahisi kutengenezeka na kuacha magofu yasioweza kutumika.