Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Mkuu vipuli vya kutengeneza Helicopter kama black hawk usifikiri ni kama spare za IST au subaru kwamba unaenda maduka ya kariakoo kununua...ni lazma spare uinunue kwenye kampuni husika iliyotengeneza Hizo ndege tena kwa Oda na mfumo maalum wa Manunuzi wa Serikali au Jeshi.

Wewe unafikiri Hizo ndege ni bajaji?

Yaani hao taliban wakijitia wajuaji zitawaua waishe.

Na hata kama kuna Ndege ambazo bado ni nzima ni suala la muda tuu zikipata hitilafu kidogo tuu watakosa vipuli na kuzipaki juu ya Mawe, kwisha kazi.

Unafikiri Wamarekani ni wajinga wawaachie magaidi Ndege?

Mpaka USA wanaondoka hapo Airport wamekagua na kujiridhisha hakuna cha maana walichoacha.
Hizi ndege serikali iliyoondolewa haikuwa na uwezo wa kuzifanyia maintenance wala operation. Sembuse hawa wavaa mashuka waliokuwa wanashangaa gym
 
Hizi ndege serikali iliyoondolewa haikuwa na uwezo wa kuzifanyia maintenaance wala operation. Sembuse hawa wavaa mashuka waliokuwa wanashangaa gym
Lkn hao hao wavaa mashuka wameweka history ambayo haitafutika hadi DUNIA inakwisha baada ya miaka 20 yrs kuondolewa kwenye madaraka na TALIBAN kuweka kwenye GROUP la KIGAIDI.

TAIFA KUBWA na lenye nguvu wamekubali yaishe na kufikiria kunegotiate na Kundi wao waliliweka kwenye kundi la KIGAIDI kwa maana mziki wao wameushindwa wavaa mashuka wametisha na kitu kingine USA inawauma sn vitu walivyo chukua hao jamaa for free vina cost BILLION OF DOLLAR .

USA walicho kifanya pale AIRPORT kuharibu zile Helicopter ni sawa sawa na Mtu umemfuma mwanamke wako uliye muhudumia kwa muda mrefu ukachukua Simu yake na kuivunja.
 
Hizo zilizoharibiwa ni zile za airport tu, kuna mzigo wa dollar billions kadhaa umeachwa kwenye makambi yaliokua yawamarekani, sasaivi mataifa na wakiwemo wamarekani wenyewe wanalalamika kuwa taliban wamepata mzigo mwingi ulioachwa kwenye makambi, kuna magari mengine jana yalionyeshwa yameingia Iran yanapelekwa huko, pia kuna maelfu ya majeshi wa serikali waliokua na vifaru na magari na silaha nyengine waliojisalikisha kwa Serikali ya Iran wakaomba ukimbizi huko na kusalimisha silaha
Tuletee picha zikiruka hizo ndege nzima zilizoachwa.
 
Kwanini USA hawakuzichukua hizo ndege zao na Halikopta?

Kwanini waliamua kuziacha Afghanistan hata kama wameziharibu?

Maana mpango wa wao kuondoka ulishatangazwa na Biden tena mpaka tarehe ya kuondoka ilisha julikana mapema.
 
Hata wakiziharibu hizo ndege ndo wanamkomoa nani sasa,,, kwani hao Taliban waliwaandikia barua ya kutaka hizo ndege, yani hapo mmarekani katoboa mtumbwi na yeye mwenyewe yupo humo humo
 
Kwanini USA hawakuzichukua hizo ndege zao na Halikopta?

Kwanini waliamua kuziacha Afghanistan hata kama wameziharibu?

Maana mpango wa wao kuondoka ulishatangazwa na Biden tena mpaka tarehe ya kuondoka ilisha julikana mapema.
Aim ya USA AFGHANISTAN ilikuwa inajulikana toka walipo amua kuondoka kilicho tokea kime kuwa opposite na USA walicho tegemea kutokea AFGHANISTAN na hilo ndio linawaumiza vibaya sn .

Wao walitegemea wanaondoka wanawacha nyuma ZAHAMA sababu walijua Jeshi la AFGHANISTAN walivyo re -trained na vifaa walivyo navyo lingeweza kuwakabili TALIBAN kwa muda kidogo lkn eventually wangeshindwa mbeleni huko maana mziki wa TALIBAN sio wa mchezo hauwishi.

Kilocho tokea AFGHAN government wakaona isiwe taabu kwanini tutowane ROHO na kuaharibu mali wakati wanajua hawato weza kutawala tena kwa amani walicho kifanya ni sawa sawa kabisa ku surrender kwa amani bila uharibifu wowote.
 
Back
Top Bottom