STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Unaongea 19... , Sisi tunaongea juzi hapa, taari taliban wanapokea gesi na mafuta kutoka Iran na Taliban waliahidi kuwa ubalozi wa Iran utakua salama ukiachana na Ubalozi wa Urusi na China, sasa hivi wanamahusiano mazuri tu kwa sababu Iran ndie aliechangia pakubwa US aondoke pale kwa kuwapatia waasi wa taliban silaha nzito na wamefanikiwa, kuna zana za kijeshi baada ya kuondoka marekani nyingi zimepelekwa Iran na Taliban, kumbuka kwa sasa Taliban wanataka uungwaji mkono na nchi yoyote haibagui, kumbuka pia Afghanistan inatumia mafuta na gesi kutoka IranMkuu Taliban kuwa na uhusiano wa kisjeshi na Iran, ni ndoto ya mchana. sababu Taliban ni waislam wa kisunni wenye msimamo mkali inayowaona wairani kwa vile madhehebu yao ni ya waislamu wa SHIA kuwa sio waislam ni makafiri, ndio maana 1998 Taliban walivokua wanaitawala Afghanistan walimuuwa Balozi mdogo wa Iran pamoja na wandiplomasi 8 kwenye mji wa Mazari-SharifView attachment 1921286
Kuna kikao kilifanyika baina ya maofisa wa Iran na Taliban nitakuletea picha hapa soon baada ya taliban kushika madaraka na wamewahakikishia balozi zao zitakua salama
Usitake kulazimisha taliban kuwachukia Iran madhehebu yao kwa sasa hayahusiani na mgogoro wa Afghanistan