Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Mrusi ataingia kuzifanyia modify na vifaa vyake chap kitu kinaruka tu.
Tatizo lenu huwa mnawaza hisia na matamanio yenu binafsi ..unafikiri warusi wana muda wa kijinga wa kuanza kuchonga vipuli vya kukarabati ndege za USA na wakati hata wao wana helicopter za kwao walizotengeneza tena Nzuri sana tu kama za USA?

Kubalini tuu kwamba wameachiwa Skrepa Suala la urusi au Iran kuja kukarabati skrepa hilo sahau...hayo ni mawazo yako wewe mwenyewe
 
Hamna namna mkuu watapigia tuu selfee na kutupia insta na hata fb Hamna shida😁
Siku ya kuondoka jeshi la marekani kwenye uwanja wa ndege wa Kabul, taliban waliingia kwa mbwembwe na furaha ikawajia, baada ya kuona ndege za kivita na helicopters aina Hawks na Magari ya Hunvee yalioaachwa na jeshi la Marekani, kumbe Wamarekani waliharibu kila kitu ambae sio rahisi kutengenezeka na kuacha magofu yasioweza kutumika.

View attachment 1920558View attachment 1920560View attachment 1920561View attachment 1920562View attachment 1920563View attachment 1920564View attachment 1920565View attachment 1920566
 
Tatizo lenu huwa mnawaza hisia na matamanio yenu binafsi ..unafikiri warusi wana muda wa kijinga wa kuanza kuchonga vipuli vya kukarabati ndege za USA na wakati hata wao wana helicopter za kwao walizotengeneza tena Nzuri sana tu kama za USA?

Kubalini tuu kwamba wameachiwa Skrepa Suala la urusi au Iran kuja kukarabati skrepa hilo sahau...hayo ni mawazo yako wewe mwenyewe
Sasa screpa si zao we inakuuma nini
 
Sasa screpa si zao
 
Hizo zilizoharibiwa ni zile za airport tu, kuna mzigo wa dollar billions kadhaa umeachwa kwenye makambi yaliokua yawamarekani, sasaivi mataifa na wakiwemo wamarekani wenyewe wanalalamika kuwa taliban wamepata mzigo mwingi ulioachwa kwenye makambi, kuna magari mengine jana yalionyeshwa yameingia Iran yanapelekwa huko, pia kuna maelfu ya majeshi wa serikali waliokua na vifaru na magari na silaha nyengine waliojisalikisha kwa Serikali ya Iran wakaomba ukimbizi huko na kusalimisha silaha
 
Asee wamepiga bomu sehemu kubwa ya mzigo, almost $3b.
 
Siku ya kuondoka jeshi la marekani kwenye uwanja wa ndege wa Kabul, taliban waliingia kwa mbwembwe na furaha ikawajia, baada ya kuona ndege za kivita na helicopters aina Hawks na Magari ya Hunvee yalioaachwa na jeshi la Marekani, kumbe Wamarekani waliharibu kila kitu ambae sio rahisi kutengenezeka na kuacha magofu yasioweza kutumika.

View attachment 1920558View attachment 1920560View attachment 1920561View attachment 1920562View attachment 1920563View attachment 1920564View attachment 1920565View attachment 1920566

Beberu anasema yako beyond repair.

Teknolojia!

Kwetu hata Gwajiboy mtalaamu wa kirusi asichokijua wala kupata kukiona.
 
Back
Top Bottom