T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
US hawabebi takataka ambazo walishachoka kuzitumia au zinaelekea mwisho wa service life. Usiwe mgeni wa logistics, nenda kaone miradi mikubwa ya wazungu makampuni yao yakishamaliza uacha vifaa chakavu na visivyo muhimu.Lkn hao hao wavaa mashuka wameweka history ambayo haitafutika hadi DUNIA inakwisha baada ya miaka 20 yrs kuondolewa kwenye madaraka na TALIBAN kuweka kwenye GROUP la KIGAIDI.
TAIFA KUBWA na lenye nguvu wamekubali yaishe na kufikiria kunegotiate na Kundi wao waliliweka kwenye kundi la KIGAIDI kwa maana mziki wao wameushindwa wavaa mashuka wametisha na kitu kingine USA inawauma sn vitu walivyo chukua hao jamaa for free vina cost BILLION OF DOLLAR .
USA walicho kifanya pale AIRPORT kuharibu zile Helicopter ni sawa sawa na Mtu umemfuma mwanamke wako uliye muhudumia kwa muda mrefu ukachukua Simu yake na kuivunja.
US kawaondoa Taliban wakiwa kwao na akakalia nchi yao kwa miaka 20. Taliban baadae wakachukua nchi yao. Hizi ni historia mbili nzito, Taliban wapambane na kujenga nchi jambo ambalo hawawezi kirahisi hivi