Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

chivala

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
772
Reaction score
2,332
Siku ya kuondoka jeshi la Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Kabul, taliban waliingia kwa mbwembwe na furaha ikawajia, baada ya kuona ndege za kivita na helicopters aina Hawks na Magari ya Hunvee yalioaachwa na jeshi la Marekani, kumbe Wamarekani waliharibu kila kitu ambae sio rahisi kutengenezeka na kuacha magofu yasioweza kutumika.

 
Zitatengenezwa tu na zitatumika tena usicheze na taliban
Mkuu vipuli vya kutengeneza Helicopter kama black hawk usifikiri ni kama spare za IST au subaru kwamba unaenda maduka ya kariakoo kununua...ni lazma spare uinunue kwenye kampuni husika iliyotengeneza Hizo ndege tena kwa Oda na mfumo maalum wa Manunuzi wa Serikali au Jeshi.

Wewe unafikiri Hizo ndege ni bajaji?

Yaani hao taliban wakijitia wajuaji zitawaua waishe.

Na hata kama kuna Ndege ambazo bado ni nzima ni suala la muda tuu zikipata hitilafu kidogo tuu watakosa vipuli na kuzipaki juu ya Mawe, kwisha kazi.

Unafikiri Wamarekani ni wajinga wawaachie magaidi Ndege?

Mpaka USA wanaondoka hapo Airport wamekagua na kujiridhisha hakuna cha maana walichoacha.
 
Dah chuma chakavu kitamu kabisa hiki sijui takipataje

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…