Tunaongelea hao watatuWajinga ila wame defend nchi yao kwa miaka 20 rasilimali zao hazijaibiwa na sasa wameipata tena nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongelea hao watatuWajinga ila wame defend nchi yao kwa miaka 20 rasilimali zao hazijaibiwa na sasa wameipata tena nchi.
Ila usisahau mtu wa kwanza kupaa ni mvaa kobazi, ujinga wake leo ndio tuna ndege.Wavaa kobazi hovyo kabisa!!!
Kwa hiyo walitegemea hao wa-America wangewaachia nyenzo nzuri za kuendelea kuwafanya siku moja warudi tena hapo kupigana vita?
Unawaonea wivu wenzio saiz wanatafuna mabikra huko ahera madukani, ulita wewe ndio ungekuwa unatafuna.
Hao watatu ni Taliban, same people walio defend nchi yao (kama story ni ya kweli) maana hizo source za mleta mada hata kiu na ijumaa zina afadhaliTunaongelea hao watatu
Andika facts mzee acha mipasho em tuwe kama wanaume wewe kunikadiria maisha bado huwezi!!!Wewe uliyekaa hapo home ukisubiri ule kisha ugombanie remote na watoto wa Dada yako na hao Wataliban wanaotake risk nani hana akili? Utakufa masikini,Mwanaume lazima atake risk.
CCM imekutawala sasa mwaka wa 45 sijaweka kipindi ikiwa TANU umefanya nini cha kufanya wasizidi kukutawala?Waliweka mtego kisha wakakimbia sio? Ingekua watu kama wewe ndio mnaishi Afghanistan mngetawaliwa maisha yenu yote.
Tupunguzie kazivya kugoogle mkuu. Weka tu jina la hiyo nchi kama hutojaliKuna nchi imewekewa sanctions na Boeing na Airbus wakati ina ndege zao nyingi tu. Ngoja waishiwe spare parts
🤣🤣🤣Mzee wewe ndiye umetoa povu!!!hao jamaa ni wenzako nini!
Kwani JF siku hizi tunao Wataliban?
Wataishi nazo muda sana ila safety standards zitakuwa chini na wakati huo ndege zao kina Sukhoi Superjet100 zinategemea vifaa kibao vya makampuni ya Marekani na Ulaya. Engine, landing gear, APU, computers na makorokoro mengi hawana uwezo kuyatengeneza watalazimika waachane na production.Waliweka Spear za China kwenye Helikopta za Marekani Sasa yamewatokea puani. Chombo chochote Cha Marekani ukibaniwa Spear zake kinabaki kuwa takataka.
Babu yangu ana Gari Aina ya Ford kutoka Marekani,ikiharibika hata Bearing inaagizwa Marekani mpaka kufika Ni Miezi 3.
Nawashangaa Urusi ambao wameshikilia ndege 500 za Boeing na Airbus eti watazitumia,(Embu nicheke kwanza). Hizi ndege tuseme ukweli TU kwamba zitabaki kuwa Scraper pale MOSCOW AIRPORT.
Unaona jinsi ulivyo empty? Hapo umewasupport Taliban bila kujua kwa kuikomboa nchi yao,CCM imekutawala sasa mwaka wa 45 sijaweka kipindi ikiwa TANU umefanya nini cha kufanya wasizidi kukutawala?
Wewe umeweka fact gani zaidi ya ushabiki wa kipumbavu? Halafu umeshajikoki kubishana na huna akili ya kuelewa hizo fact,unacomment kwa ushabiki vitu vya maana utafikiri unajadili Simba na Yanga,piga kimya kuficha ujinga wako usionekane.Andika facts mzee acha mipasho em tuwe kama wanaume wewe kunikadiria maisha bado huwezi!!!
Nilikuuliza sisi tunaowashangaa wao kuendesha ndege mbovu zilizotelekezwa na wewe unayewatetea nani chizi nani mzima hujanijibu.
HahahahahahahahahahaWalidhani ni kobazi hizo.
Mtego unakuaga hivyo? Una umri gani kwanza isije ikawa naelewesha kitoto cha Darasa la Sita,hata Iraq walidump zana zao nyingi tu kuliko kuzichukua back tu US,Hilo ni tatizo shehe
Wewe na wao hapo ndipo mnapopotea akili,majuzi tulikuwa na ugomvi nikakuchakaza nikaondoka kwangu nikaacha baadhi ya zana zangu kwako wewe usijiulize kama ni mtego au siyo leo unaenda kuzidanda!!!
Una akili sawasawa?
Wewe ni mke wa huyo niliyemjibu na ndio maana dawa inakuingia na wewe pia? Au ndio multiple ID?Usibadili gia tuwajadili hao vilaza,huyu unayemshambulia kuwa anagombania remote humjui hakujui,rudi kwenye mstari.uncalculated risk ni upopoma
Hivi vitoto vilivyokaa Nyumbani tu na kusubiri Baba atoke kazini ili vimpokee mkoba haviwezi kuelewa hilo.Huo ni uthubutu
PeriodUsibadili gia tuwajadili hao vilaza,huyu unayemshambulia kuwa anagombania remote humjui hakujui,rudi kwenye mstari.uncalculated risk ni upopoma