The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ona hii nayo sijui hata inaelewa ilicho kiandika! Au mradi tu na wewe usisahauliwe kua upo humu jf?umelewa kitimoto wewe sio bure.
mtu halafu ndio aje kufanikwa jambo lake?
Duh Tozo zipunguzwe😂😂
Ukraine vipi?
Labda waende chinaKuna nchi imewekewa sanctions na Boeing na Airbus wakati ina ndege zao nyingi tu. Ngoja waishiwe spare parts
Wewe ni mke wa huyo niliyemjibu na ndio maana dawa inakuingia na wewe pia? Au ndio multiple ID?
Unaweza kuta hapo kichwa kimejaa kipilipili ila umeweka avatar ya mabwana zako waarabu.unatetea ujinga kisa umefanywa na waarabu vilaza.tabia za kishoga hizoWewe ni mke wa huyo niliyemjibu na ndio maana dawa inakuingia na wewe pia? Au ndio multiple ID?
Naona dawa imekuingia kisawasawa mpaka ukarukia kukagua Avatar,tulia hivyo hivyo ili usije ukavunja bomba la sindano.Unaweza kuta hapo kichwa kimejaa kipilipili ila umeweka avatar ya mabwana zako waarabu.unatetea ujinga kisa umefanywa na waarabu vilaza.tabia za kishoga hizo
Unajifanya ni msemaji wa taliban wakati huo ndugu zao wanawalaumu kwa ujinga waliofanya.soon wake zao wanaanza kugongwa na wahuniHivi vitoto vilivyokaa Nyumbani tu na kusubiri Baba atoke kazini ili vimpokee mkoba haviwezi kuelewa hilo.
Huna issue kaa pembeni,umebaki kurukaruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,Unajifanya ni msemaji wa taliban wakati huo ndugu zao wanawalaumu kwa ujinga waliofanya.soon wake zao wanaanza kugongwa na wahuni
HahahaTupunguzie kazivya kugoogle mkuu. Weka tu jina la hiyo nchi kama hutojali
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mchina akipigwa biti na US kuhusu hizo spair sijui kama hatoufyata.Labda waende china
Utakuja kutatuliwa marinda kisa risk taker,muwe mnaangalia vitu vya kutake riskHuna issue kaa pembeni,umebaki kurukaruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,
Mwanaume kutake risk ni jambo la kawaida,wewe endelea tu kulala usingizi ili usijedhurika na jambo lolote.
Umezunguka wee ila mwisho umeamua kuweka wazi kua ww ni choko,mtu huwaza akifanyacho basi na wenzake pia hukifanya,wewe choko kumbe Eeeh..Utakuja kutatuliwa marinda kisa risk taker,muwe mnaangalia vitu vya kutake risk
Aliyekwambia mi nalala nani
Nakula kwa jasho langu ila sio kwa akili mbovu kama za hao three idiots
Umezunguka wee ila mwisho umeamua kuweka wazi kua ww ni choko,mtu huwaza akifanyacho basi na wenzake pia hukifanya,wewe choko kumbe Eeeh..
We si risk taker njoo nikutatue marinda kuna helicopter hapa utaondoka nayoUmezunguka wee ila mwisho umeamua kuweka wazi kua ww ni choko,mtu huwaza akifanyacho basi na wenzake pia hukifanya,wewe choko kumbe Eeeh..
Wewe ni choko na hilo umeliweka wazi wewe mwenyewe,Mwanaume rijali hawezi kuwaza hizo issue,naona dawa imekuingia kisawasawa na umebaki kama Zuzu tu anayebwabwaja hovyo,wazazi wako wana hasara kubwa sana.We si risk taker njoo nikutatue marinda kuna helicopter hapa utaondoka nayo
[emoji3][emoji3][emoji3]Mzee wewe ndiye umetoa povu!!!hao jamaa ni wenzako nini!
Kwani JF siku hizi tunao Wataliban?
Bado Yale ma-HAMVEE wanayopiga nayo picha.Yatawatokea puani.Zana kama hizo za kivita zinazotengenezwa Marekani hua ni za state of the art technology hivyo akikuachia wakati wewe ni adui usipojiongeza halafu eti ujifanye kuzitumia lazima yakupate ya kukupata.
Zinaweza zikawa controlled kwa remote via satellite na ndio ikawa mauti yako na hata hao Mujahedeen ni wajinga tu hawakuweza kujiuliza ni kwa nini hazikuwekewa password [emoji360] kama kweli walikuwa na nia kwamba zisitumiwe na yeyote yule. Hao Taliban akili ndogo.
Sasa soko wangepata wapi?Angalau wao wamejaribu kuzirusha na sio kuzikata na kuziuza screpa kwa tamaa ya pesa mbili tatu.