Kaburi la baba yake Asad lachomwa moto na waasi

maddox

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,086
Reaction score
4,669
Niaje niaje, katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.

Hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa naona khamenei kama jasho linalowesha kanzu yake maana na yeye ni kama alarm inalia kwenye ndevu zake.
 
Nafasi za kiuongozi si za kukalia kimabavu, mwisho huwa mbaya Sana,
CC, #Mbowe!
Hakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia, haipo, kama ipo itaje. Nchi zote za kiarabu zinatawaliwa kwa mkono wa chuma otherwise nchi inasambaratika kama ilivyosambaratishwa Libya, Irak, na Syria tangu 2011 na western hypocrisy.
 
Niaje niaje.............katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad..........waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa naona khamenei kama jasho linalowesha kanzu yake maana na yeye ni kama alarm inalia kwenye ndevu zake....
huo ni uwenda wazimu sasa 🐒
 
Kama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.
Ili kualika MAJIZI mapya yenye njaa balaa 😁😁😁
 
Hakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia, haipo, kama ipo itaje. Nchi zote za kiarabu zinatawaliwa kwa mkono wa chuma otherwise nchi inasambaratika kama ilivyosambaratishwa Libya, Irak, na Syria tangu 2011 na western hypocrisy.
Kwa nini unasema hivi sheikh wangu?
 
Niaje niaje.............katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad..........waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa naona khamenei kama jasho linalowesha kanzu yake maana na yeye ni kama alarm inalia kwenye ndevu zake....
Ndomana alikimbia 😄
Kuna ule ushujaa wa watawala
Utawasikia ntafiaa nchini kwangu
😄

Ova
 
Kama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.
Kwenye hivyo vyombo vya dola watoe jeshi la polisi na Tiss hawa hawana haja wala hitaji la kuungana na wananchi kwa jambo lolote lile maana wao wamesha jiona si sehemu ya wananchi hata kidogo ndiyo maana wanatuteka na kutuua kwa ajili ya maslahi ya walioko madarakani
 
Tumaini letu ni kwa Jeshi la Wananchi tu maana wao hawajachafuliwa sana na siasa za kipumbavu za CCM.
 
Kama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.
Vyombo vya dollar ni CCM kuliko CCM wenyewe labda CCM ndo iviangushe vyombo vya dollar
 
Hakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia, haipo, kama ipo itaje. Nchi zote za kiarabu zinatawaliwa kwa mkono wa chuma otherwise nchi inasambaratika kama ilivyosambaratishwa Libya, Irak, na Syria tangu 2011 na western hypocrisy.
Tunisia
 
Back
Top Bottom