Kaburi la baba yake Asad lachomwa moto na waasi

Kaburi la baba yake Asad lachomwa moto na waasi

Wamemkuta humo kaburini au yuko zake peponi kwa Allah anajilia wale dada zao bikira 72? Uislamu raha sana


Niaje niaje, katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.

Hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa naona khamenei kama jasho linalowesha kanzu yake maana na yeye ni kama alarm inalia kwenye ndevu zake.
 
Hakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia, haipo, kama ipo itaje. Nchi zote za kiarabu zinatawaliwa kwa mkono wa chuma otherwise nchi inasambaratika kama ilivyosambaratishwa Libya, Irak, na Syria tangu 2011 na western hypocrisy.
Unafikiri tatizo linasababishwa na nini hapo? Ni Westerners tu au ni aina ya Uongozi wa kiuonevu kwa viongozi wa nchi hizo?
 
Back
Top Bottom