Kama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.Nafasi za kiuongozi si za kukalia kimabavu, mwisho huwa mbaya Sana,
CC, #Mbowe!
Hakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia, haipo, kama ipo itaje. Nchi zote za kiarabu zinatawaliwa kwa mkono wa chuma otherwise nchi inasambaratika kama ilivyosambaratishwa Libya, Irak, na Syria tangu 2011 na western hypocrisy.Nafasi za kiuongozi si za kukalia kimabavu, mwisho huwa mbaya Sana,
CC, #Mbowe!
huo ni uwenda wazimu sasa πNiaje niaje.............katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad..........waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa naona khamenei kama jasho linalowesha kanzu yake maana na yeye ni kama alarm inalia kwenye ndevu zake....
Ili kualika MAJIZI mapya yenye njaa balaa πππKama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.
Kwa nini unasema hivi sheikh wangu?Hakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia, haipo, kama ipo itaje. Nchi zote za kiarabu zinatawaliwa kwa mkono wa chuma otherwise nchi inasambaratika kama ilivyosambaratishwa Libya, Irak, na Syria tangu 2011 na western hypocrisy.
Sahihi kabsaNafasi za kiuongozi si za kukalia kimabavu, mwisho huwa mbaya Sana,
CC, #Mbowe!
Hii siku siyo ya kuiombea hata kidogo! Kwa si si emu itakuwa ndiyo siku ya kiama.Kama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.
Ndomana alikimbia πNiaje niaje.............katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad..........waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa naona khamenei kama jasho linalowesha kanzu yake maana na yeye ni kama alarm inalia kwenye ndevu zake....
Kwenye hivyo vyombo vya dola watoe jeshi la polisi na Tiss hawa hawana haja wala hitaji la kuungana na wananchi kwa jambo lolote lile maana wao wamesha jiona si sehemu ya wananchi hata kidogo ndiyo maana wanatuteka na kutuua kwa ajili ya maslahi ya walioko madarakaniKama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.
Tumaini letu ni kwa Jeshi la Wananchi tu maana wao hawajachafuliwa sana na siasa za kipumbavu za CCM.Kwenye hivyo vyombo vya dola watoe jeshi la polisi na Tiss hawa hawana haja wala hitaji la kuungana na wananchi kwa jambo lolote lile maana wao wamesha jiona si sehemu ya wananchi hata kidogo ndiyo maana wanatuteka na kutuua kwa ajili ya maslahi ya walioko madarakani
Ni mtazamo potofu,au na wewe ni mmoja wa wanaifukarisha hii nchi na kujilimbikizia mali ughaibuni?Ili kualika MAJIZI mapya yenye njaa balaa πππ
Ushuzi wa bata .............kakimbia kaacha mpaka mi lamborghin yake garage.........kifo sio cha masikhala hata kidogo.....................Ndomana alikimbia π
Kuna ule ushujaa wa watawala
Utawasikia ntafiaa nchini kwangu
π
Ova
Vyombo vya dollar ni CCM kuliko CCM wenyewe labda CCM ndo iviangushe vyombo vya dollarKama CCM wanavyokalia nchi kwa mabavu ya vyombo vya dola, itafika mahali hivyo vyombo vitaamua kuwa upande wa wananchi na ndiyo itakuwa mwisho wa hili genge la majizi ya kura na tutafuta nyayo zao zote.
TunisiaHakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia, haipo, kama ipo itaje. Nchi zote za kiarabu zinatawaliwa kwa mkono wa chuma otherwise nchi inasambaratika kama ilivyosambaratishwa Libya, Irak, na Syria tangu 2011 na western hypocrisy.
Tunisia na Algeria?Hakuna nchi ya kiarabu ambayo inaweza kutawalika kidemokrasia
Taja nchi ya Kiarabu au ya dola ya Kiislam iliyotawalika kidemokrasiaKwa nini unasema hivi sheikh wangu?