Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad
Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa chuma ilibidi afanye hivyo sababu madaraka aliyapata kwa mapinduzi ya kijeshi
Hii habari inachekesha na mda huo huo inafikirisha sasa kaburi la baba yake assad linakosa gani
Tuendelee kuona yajayo