Wewe mgeni wa mwezi march tupunguzie upuuzi humu. Upo ress sana kama gari la ng'ombe lililobeba mzigo wa miwq na mafenesi!SUALA LA KABURI LA HALAIKI KWA KONDO NI POROJO ZA WANAHARAKATI NA LARRY MIDOWO WA CNN 📌
đź’ˇKufuatia vurugu na machafuko ya kupangwa na kuratibiwa na wanaharakati na baadhi ya vyama vya siasa ikiwemo CHADEMA kulitokea uzushi wa mambo mengi sana ikiwemo kuwapo kwa kaburi la halaiki huko Kunduchi kwenye makaburi ya Kwa Kondo.
đź’ˇLarry Midowo wa CNN ambaye amehusika sana kuchochea na kushabikia vurugu zile alikuja na uongo na uzushi wa alichokiita ni ushahidi na picha za satelaiti kuonyesha kuwapo kwa makaburi ya halaiki au kaburi la halaiki eneo la kwa Kondo huko Kunduchi..
đź’ˇKwa ambao hawajuin ikuwa kaburi la halaiki ni shimo moja kubwa sana linalochimbwa na kufukia kwa pamoja mamia kama siyo maelfu ya watu waliokufa..
đź’ˇKwa hali yoyote ile eneo la makaburi ya kwa Kondo lipo kwenye makazi ya watu na limezungukwa na makazi ya watu hivyo kuondoa uwezekano wowote ule wa kuzikwa watu kwa mamia eneo hilo..
💡Uzushi mwingine ni ule ulioenezwa na wanaharakati akiwemo Maria Sarungi na wenzake wa huko Kenya kuwa maelfu ya miili ya watu imepelekwa kwenye kiwanda cha simenti kule Wazo Hill na miili inachomwa kwenye vile vinu vya kuchomea kemikali na chokaa kutengeneza simenti.. Yaani miili inabebwa sijui kutoka wapi inapelekwa na kuchomwa kwenye furnaces ..🤔
đź’ˇHaya yalikuwa ni baadhi tu ya mambo ambayo watanzania walilishwa uongo na wanaharakati hawa kwa lengo la kuchafua nchi na kuleta taswira mbaya sana ya Tanzania kwa kile walichokipanga na kukiratibu na kufadhiliwa kukifanya kwa muda mrefu sana kabla ya uchaguzi..
🚨Kwa mujibu wa Tume ya Uchunguzi, hakuna uthibitisho wa vifo tata wala uwepo wa makaburi ya halaiki siyo tu kwa Kondo bali popote ndani ya Tanzania..
#MaridhianoYaTaifa
#TumeYaUchunguziReport
Ripoti Ya TumeView attachment 3582092
Haya waambie wafiwa walikozikwa ndugu zao ili wakapeleke shada za maua na kujengea makaburi ya wafiwa wao.
Hiyo njaa uliyonayo itakuleta ti barazani ukatuonyeshe makaburi ya wapendwa wetu maana ulishiriki kuchimba kaburi lao.