Kaburi la Halaiki Kwa Kondo: Porojo za Wanaharakati

Wewe mgeni wa mwezi march tupunguzie upuuzi humu. Upo ress sana kama gari la ng'ombe lililobeba mzigo wa miwq na mafenesi!
Haya waambie wafiwa walikozikwa ndugu zao ili wakapeleke shada za maua na kujengea makaburi ya wafiwa wao.
Hiyo njaa uliyonayo itakuleta ti barazani ukatuonyeshe makaburi ya wapendwa wetu maana ulishiriki kuchimba kaburi lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…