Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Angalia vizuri mkuu utalionaNimeangalia picha kwa makini sijaona kaburi lolote
Duh watu wametoka mbali😂😂Baada ya mwanadada Jokate Mwegelo kuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kisarawe picha ya mtangazaji Musa Kipanya akiwa na Jokate Mwegelo miaka hiyo enzi za ujana wao imeibuliwa na kusambaa kwa kasi mtandaoni.
View attachment 827417
Mussa Kipanya usichoelewa ni nini?Sio kipanya huyo!huyo Mussa
si mussa uyo ...jina lake kipanyaBaada ya mwanadada Jokate Mwegelo kuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kisarawe picha ya mtangazaji Musa Kipanya akiwa na Jokate Mwegelo miaka hiyo enzi za ujana wao imeibuliwa na kusambaa kwa kasi mtandaoni.
View attachment 827417
Nikajua masudi kipanya mchora vikatuni,mussa ndo yupi?Mnapobandika nyuzi bila kufafanua mnakosea.
Kuna Masudi na Musa, wengi wanadhania ni Masudi.
Nahitaji nifafanue vipi wakati nimeandika Mussa Kipanya?.Mnapobandika nyuzi bila kufafanua mnakosea.
Kuna Masudi na Musa, wengi wanadhania ni Masudi.
Nani ataelewa bila maelezo.Mussa Kipanya usichoelewa ni nini?
We utakuwa umechanganya na kaka yake Masoud labdaKipanya bwana..... Sasa hivi ana wake wawili (bila kuhesabu masuria)
Kipanya bwana..... Sasa hivi ana wake wawili (bila kuhesabu masuria)