1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji23]Mussa Kipanya usichoelewa ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Mussa Kipanya usichoelewa ni nini?
[emoji23]Sio kipanya huyo!huyo Mussa
Ni kweli kabisa Masoud ni mkubwa na ni maarufu huyu Musa bado undergroudMnapobandika tu nyuzi bila kufafanua mnakosea.
Kuna Masudi na Musa, wengi watakimbilia kwa Masudi, coz ni wachache wanamjua Musa.
Nikajua masudi kipanya mchora vikatuni,mussa ndo yupi?
Basi unless umeandika makusudi ili iwe "click bait"...ungeandika basi jina lake halisi bila kipanya uone kama Mtu angeelewa.Nahitaji nifafanue vipi wakati nimeandika Mussa Kipanya?.
Ni ndugu yake na Masoud Kipanya?Mussa Kipanya usichoelewa ni nini?
Exactly ndio ninachomwambia Mleta uzi.Nikajua masudi kipanya mchora vikatuni,mussa ndo yupi?
Baada ya mwanadada Jokate Mwegelo kuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kisarawe picha ya mtangazaji "Mussa Kipanya" akiwa na Jokate Mwegelo miaka hiyo enzi za ujana wao imeibuliwa na kusambaa kwa kasi mtandaoni.
View attachment 827417
Wengine uteweuzi wake ulitushangaza tu kutu inspire. But no way out aliyepewa kapewaHiyo picha badala ya kunishangaza imeni inspire
Watu wanachanganya coz Uzi hauna ufafanuzi.Mkuu Mussa kipanya wa Efm mdogo wa masoud ana wake wawili ?au umechanganya na kaka yake?
Huyo ni kipanya mdogo, sio MasoudkpKipanya bwana..... Sasa hivi ana wake wawili (bila kuhesabu masuria)
Kamchanganya na kp originalMkuu Mussa kipanya wa Efm mdogo wa masoud ana wake wawili ?au umechanganya na kaka yake?
No fuss..! Whom among us has no background?Baada ya mwanadada Jokate Mwegelo kuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kisarawe picha ya mtangazaji "Mussa Kipanya" akiwa na Jokate Mwegelo miaka hiyo enzi za ujana wao imeibuliwa na kusambaa kwa kasi mtandaoni.
View attachment 827417
Huyo ni mdogo, hata mimi nilimjua alipokuwa TBC tv, alikuwa na ka binti fulani wanaendesha kipindi cha bolingo za ki Congo.Ni ndugu yake na Masoud Kipanya?
Mkuu jina lake halisi ni Mussa Kipanya sasa mimi ningeandikaje? Mkuu unajua mabishano mengine hayana maana kabisa.Basi unless umeandika makusudi ili iwe "click bait"...ungeandika basi jina lake halisi bila kipanya uone kama Mtu angeelewa.
Mussa Kipanya hilo ndilo jina analotumia sioni kama nikiweka jina ambalo hata Mimi silijui italeta maanaNani ataelewa bila maelezo.
Kipanya ni jina bandia la Masudi kutokana na katuni zake, huyo mdogo wake wanamuita/amejipachika tu hiyo Kipanya.
Kipanya sio jina halisi, ni la bandia la Masudi.Mkuu jina lake halisi ni Mussa Kipanya sasa mimi ningeandikaje? Mkuu unajua mabishano mengine hayana maana kabisa.
Asante mkuu kwa kunikumbusha nimesahihishaJakate HAJACHAGULIWA bali AMETEULIWA kuwa mkuu wa wilaya - kuna tofauti kubwa kati ya kuchaguliwa na kuteuliwa