bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Amaa kweli tumetoka mbali duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siyo kwa nia mbaya ndiyo maana hata wahusika hawana tatizo na hii picha ndiyo maana wameitoa ili itukumbushe tulikotokaJamani maisha ni safari na ukishapita kituo cha nyuma huna haja ya kurudi, unasonga mbele. Mwacheni Jokate na Mussa Kipanya wasonge mbele na maisha yao, hamna haja ya kufukua makaburi!
The past is gone, so let bygones be bygones!
Sasa wataelewaje wakati hawalifahamu? Nimeandika hivi ili waelewe maana ndiyo jina analolitumiaBasi unless umeandika makusudi ili iwe "click bait"...ungeandika basi jina lake halisi bila kipanya uone kama Mtu angeelewa.
Who the hell mussa kimouse?Mnapobandika tu nyuzi bila kufafanua mnakosea.
Kuna Masudi na Musa, wengi watakimbilia kwa Masudi, coz ni wachache wanamjua Musa.
Mkuu shida yako nini? Usijipe stress usichukulie kila post negative hii picha wameitoa wenyewe nadhani wanataka tujifunze kitu.No fuss..! Whom among us has no background?
Basi kuna tutaHakuna kaburi hapo
Jamaa haki una shida mahali. Yaani unataka nitumie jina ambalo mhusika halitumii kisa ni jina halisi?Kipanya sio jina halisi, ni la bandia la Masudi.
Mabishano mengine hayana maana kabisa.
We jamaa hujaelewa hata hoja yangu ya msingi, inaonyesha hata hujasoma nilichoandika post ya awali.Jamaa haki una shida mahali. Yaani unataka nitumie jina ambalo mhusika halitumii kisa ni jina halisi?
Shida yako nini hasa?
Yeye mwenyewe anajiita Mussa Kipanya, huko fb, Instagram na kwingineko, hadi kwenye media anazofanyia kazi anatumia hilo jina. Sasa wewe hutaki mimi nimrejee kwa jina hilo why? Hivi unafikiri ni wangapi wanaolijua hilo jina lake halisi? Mtu kama Harmonize, Lavalava, Diamond Platnumz wote hao tunawarejea kwa majina yao ya kazi why not him?
Hoja ya watu kuchanganya haina logic ni wengi wataelewa hivi kuliko nikitumia jina lake halisi.
hahaha huyo wakuitwa jojo hapo Kama dada wakaziKulalek watu wanatoka mbali sanaa Duuuuuuhhhh
kwakweliHiyo picha badala ya kunishangaza imeni inspire
mleta uzi hajakosea" huyo jamaa huwa anajitambulisha hivyo hivyo " kuwa ni mussa kipanya" nimdogo wake na masudi" zamani alikuwa anafanya kazi magic fm " sasa hivi yupo EFMExactly ndio ninachomwambia Mleta uzi.
Watu tisa kati ya kumi watadhania ni Masudi.
Huyo kwenye Picha ni Mussa Masoud Kipanya Sio MasoudKipanya bwana..... Sasa hivi ana wake wawili (bila kuhesabu masuria)