Kaburi la Jokate Mwegelo na Musa Kipanya lafufuliwa

Majizo naona anagombaniwa kama mpira wa kona, ila jamaa nae kapoa sana.
Juzi tu hapo crown wakachukua.
Jamaa anafeli ,hajui uongozi au management yake wanamfelisha ...Hiawezekani ukaruhusu cream yote ya kila kipindi waondoke ,kuna watangazaji inabidi uwaretain no matter what hata ikibidi kuwa-Duble duble salaries....Majizo kafeli kuruhusu Mussa Kipanya Tonge Nyama kuondoka.
 
Screenshot_20240819-084342.png
 
Jamaa anafeli ,hajui uongozi au management yake wanamfelisha ...Hiawezekani ukaruhusu cream yote ya kila kipindi waondoke ,kuna watangazaji inabidi uwaretain no matter what hata ikibidi kuwa-Duble duble salaries....Majizo kafeli kuruhusu Mussa Kipanya Tonge Nyama kuondoka.
Kahamia wapi?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Masoud kama ana umri mdogo sana basi ni 47yrs,haiwezekani apige picha na jockate wakiwa na umri unaofanana hivi wakati jockate hatoboi 35.

Huyu anaitwa mussa.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom