master09
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 813
- 561
Mkuu hapo kuna kaburi gani labda .....hapo ni St.Anthony Mbagala enzi hizo ndo shule kweli kweli mwaka wa 2000 - 2003, Jamaa anaitwa musa wengi tulimwita kipanya musa kipanya picha ya kawaida hata mimi ninayo tulipaga miaka ile ila siyo big deal kwa sasa hata baadae kuwa classmate ni shida mpaka liwe kaburi .....unaweka topic hata st.anthony huwepo unaunga story ....kweli mbongo mpe picha tuu ataunda storyBaada ya mwanadada Jokate Mwegelo kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kisarawe picha ya mtangazaji "Mussa Kipanya" akiwa na Jokate Mwegelo miaka hiyo enzi za ujana wao imeibuliwa na kusambaa kwa kasi mtandaoni.
View attachment 827417