Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
[emoji38][emoji38]Chai ya kukaanga..Nakumbuka tuliinywa sana hii chai miaka ile mara dukani majani shida jamani siku hazigandi heheh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38]Chai ya kukaanga..Nakumbuka tuliinywa sana hii chai miaka ile mara dukani majani shida jamani siku hazigandi heheh
Kwamba mlishaachana?Memories die hard... I wish I can turn back the time [emoji25]
Tatizo wabongo wanataka uwaambie inaongeza nguvu za kiume hapo wako tayari kula hata nyasiumenichekesha sn we jamaa. yaani umenifanya nimuombe wife aniandalie hako kachai. nmempa ujumbe wako ausome naye akacheka sn. nakunywa chai hakiyanani bila kupanga. asante sn
Aahhhh wapii. Bado sanaaaaKwamba mlishaachana?
Mtani kwa kandehiyo ni ukikosa majani ina ladha yake pia hasa ukiipata na kiporo cha makande au mchele ndondo
Sio kweli. It is the best tea everHakyanani ukichanganya iliki na tangawizi kwenye chai ya maziwa inaganda..
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]CHAI YA KUNUKIA HADI KWA MAJIRANI[emoji16]
Chukua iriki kias na karafuu zikaange jikoni Hadi iriki zibadilike rang usiunguze Kisha zitwange
Chemsha maji weka viungo ulivyoandaa Kisha sagia tangawiz kidogo utakuja kunishukuru[emoji16]
NB.unaweza twanga ving na ukatunza
Asante mleta uzi
Sasa nini maana yake ile sentensi ya mumeo?Aahhhh wapii. Bado sanaaaa
Wewe umesemaNani kasema[emoji3064][emoji15]
Katamani siku zirudi nyuma anitongoze upya. Si unajua mahaba ya utotoni yanakuwa moto motoSasa nini maana yake ile sentensi ya mumeo?
Hongera Mkuu mpaka huku upo?Matayatisho
Iliki ,tangawizi ya kusaga ,majani ya chai , maziwa na maji na sukati
Jinsi ya kuitengeneza
Ni rahisi sana ufundi ni kidogo
Chemsha maji yachemke kabisa kama robo lita hivi ongeza vikombe viliwi vya maziwa kisha iliki 5 au 6 ,ongeza tangawizi kijiko kidogo majani kiasi na sukari.
Chemsha kwa dakika 5 tena ipua chuja weka kwenye thermos.
Tafuta mahali penye upepo tulivu Enjoy kachai kako katamu