Kachai katamu

CHAI YA KUNUKIA HADI KWA MAJIRANI[emoji16]

Chukua iriki kias na karafuu zikaange jikoni Hadi iriki zibadilike rang usiunguze Kisha zitwange

Chemsha maji weka viungo ulivyoandaa Kisha sagia tangawiz kidogo utakuja kunishukuru[emoji16]
NB.unaweza twanga ving na ukatunza
Asante mleta uzi
 
umenichekesha sn we jamaa. yaani umenifanya nimuombe wife aniandalie hako kachai. nmempa ujumbe wako ausome naye akacheka sn. nakunywa chai hakiyanani bila kupanga. asante sn
Tatizo wabongo wanataka uwaambie inaongeza nguvu za kiume hapo wako tayari kula hata nyasi
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
CC: Angel Nylon [emoji7]
 
Hongera Mkuu mpaka huku upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…