Kachero wa Team Tundu Lissu aliyehatarisha Maisha yake Kuishi Upande wa Mbowe

Kachero wa Team Tundu Lissu aliyehatarisha Maisha yake Kuishi Upande wa Mbowe

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?

Screenshot_2025-01-22-15-43-38-471_com.twitter.android.jpg
 
Chadema wanaanza kupigana vidole kavu kavu, acheni hizo, mtatoana damu na kuchubuana
 
Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?

View attachment 3210174
Hawa jamaa bana

immaturity ya ajabu

kachero anawekwa wazi namna hii?

walioshindwa ni 49% wao wameshinda ni 51% wanawahitaji walioshindwa ili warudi kua 100% kama mwanzo

huu ubezaji wa walioshindwa kutapelekea CDM kua half ya mwanzo

with this I see ACT ikifanya crazy numbers on October inaweza pelekea wakawa number 1 CDM ikawa number 2 hapo chama kikuu kikawa ACT

these guys need walioshindwa kwa udi na uvumba
 
Back
Top Bottom