Kachoka nguo za kijani?

Kachoka nguo za kijani?

Kulikoni tena mbona furaha zero kwa Mwamba wetu
Anajua bungeni harudi kwa tiketi ya CCM


Chadema mchukueni Mpina mkahangaike naye huko kama mlivyozoea kuchukua wagombea takataka waliokataliwa na CCM maarufu sana CCM kama mawaziri wakuu Sumaye na Lowasa Sembuse huyo mbunge Mpina ambaye Chadema wamejipanga kumpa. Ugombea uraisi wa Chadema kuwa ooh Chadema itapata kura nyingi za uraisi kanda ya ziwa hivyo kupata ruzuku kubwa na wabunge wengi wa viti maalumu

CCM hatuna mpango naye

Sema Lisu intelligence yake ya timu Lisu mbovu

Mbowe alipomwambia Lisu kuwa sitaki ugombee uraisi Alitakiwa kutomjibu Mbowe aingize intelligence mitaani kujua why?
Mbowe kasema hivyo?.
Tofauti ya Mbowe na Lisu ni hekima na usiri

Mbowe ana hekima na usiri Lisu hana hekima wala usiri
Mgombea uraisi wa Chadema mwaka huu ni Luhaga Mpina
 
Hawatamuengua kweli kwenye kura za maoni? Inanipa wasiwasi sana
Hafiki hata kwenye kura za maoni huyo fomu yake itatupwa kwenye dustbin na hataweza uliza popote kwa nini hajaingizwa kwenye kundi la watia nia akashindwe kwenye kura za maoni.Hiyo nafasi hatapata fomu yake itatupwa tu dustbin case closed
 
Anajua hii ni kama jela tu, kulambana miguu na ku loose dignity for the sake of money and fake power.
 
Back
Top Bottom