Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi

Chikulupi Njelu Kasaka ambae kitaaluma ni Mwanasheria na Wakili, ni mbobezi wa masuala ya siasa, utawala na diplomasia mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 12 katika mahusiano ya kimataifa na diplomasia.

Chikulupi amekitumikia Chama Cha Mapinduzi katika nyanja tofauti na pia ni mjumbe katika kamati mbalimbali.

Baada ya kuchukua fomu hiyo Chikulupi Kasaka akiongea na waandishi wa habari ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa juhudi mbalimbali anazofanya katika kukuza umoja na uchumi katika jumuia ya Afrika mashariki. Chikulupi ameahidi kuindeleza kazi hiyo ili kuiwezesha nchi yetu kupiga hatua kiuchumi kwa kuimarisha uchumi na fursa kwa vijana na taifa kwa ujumla.
 
Attachments

  • IMG-20240814-WA0033.jpg
    IMG-20240814-WA0033.jpg
    88 KB · Views: 4
  • IMG-20240814-WA0032.jpg
    IMG-20240814-WA0032.jpg
    57.9 KB · Views: 4
  • IMG-20240814-WA0025.jpg
    IMG-20240814-WA0025.jpg
    48.9 KB · Views: 5
Akili nyingi huyu...

Kila la heri kwake kamarada Chikulupi[emoji2956]
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi

Chikulupi Njelu Kasaka ambae kitaaluma ni Mwanasheria na Wakili, ni mbobezi wa masuala ya siasa, utawala na diplomasia mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 12 katika mahusiano ya kimataifa na diplomasia.

Chikulupi amekitumikia Chama Cha Mapinduzi katika nyanja tofauti na pia ni mjumbe katika kamati mbalimbali.

Baada ya kuchukua fomu hiyo Chikulupi Kasaka akiongea na waandishi wa habari ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa juhudi mbalimbali anazofanya katika kukuza umoja na uchumi katika jumuia ya Afrika mashariki. Chikulupi ameahidi kuindeleza kazi hiyo ili kuiwezesha nchi yetu kupiga hatua kiuchumi kwa kuimarisha uchumi na fursa kwa vijana na taifa kwa ujumla.
Anafaa kwa matumizi ya usiku
 
..anajua kuongea KIINGEREZA?

..vinginevyo atakwenda kuburuzwa na Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, na Wasudani ya Kusini.

..bunge la Afrika Mashariki haliwafai watu wasioweza kushiriki na kuchangia mijadala kwa lugha ya Kiingereza.
 
Back
Top Bottom