Kada kindakindaki wa CCM na YANGA nimeingia jamiiforum kwa kishindo

Joined
Nov 30, 2022
Posts
17
Reaction score
17
Wadau mambo vipi,. Poleni na mihangaiko ya kila cku maana life liko tight kinoma.

Mimi hapa genius kipanga nimekuja jamiiforum kwa lengo kuu moja kutetea CCM na YANGA. Naomba ushirikiano wenu katika kuhakikisha mama anaupiga MWINGI hadi umwagike

Naomba kuwasilisha

Nb😛isikali zote nifate pm mtakuja nishukuru badae
 
Utumie na akili vizuri.Usilete umbuzimbuzi hapa JF.Utapata bakhishishi zako hadi ujute.
 
Usiombe nguo yako ikavamiwa na chawa
 
Haya bwana kanga, sorry kada
Screenshot_20220926-191533_Quora.jpg
 
Wadau mambo vipi,. Poleni na mihangaiko ya kila cku maana life liko tight kinoma.

Mimi hapa genius kipanga nimekuja jamiiforum kwa lengo kuu moja kutetea CCM na YANGA. Naomba ushirikiano wenu katika kuhakikisha mama anaupiga MWINGI hadi umwagike

Naomba kuwasilisha

Nb😛isikali zote nifate pm mtakuja nishukuru badae
Hapo kwenye Yanga umenena. Ila kile...mmmhhh.
 
Wadau mambo vipi,. Poleni na mihangaiko ya kila cku maana life liko tight kinoma.

Mimi hapa genius kipanga nimekuja jamiiforum kwa lengo kuu moja kutetea CCM na YANGA. Naomba ushirikiano wenu katika kuhakikisha mama anaupiga MWINGI hadi umwagike

Naomba kuwasilisha

Nb😛isikali zote nifate pm mtakuja nishukuru badae
Wewe ni mbadala wa OKW BOBAN SUNZU ambaye ni simba na chadema
 
Binadamu huwa anakula majani ambayo na mbuzi naye hula. Hilo halimfanyi binadamu kuwa mbuzi..!! Mbuzi atabaki kuwa mbuzi hata kama baadhi ya vyakula anavyokula, binadamu naye anakula
Sasa wananchi mkataeni huyo mbuzi. Mbuzi kwake ni zizini. Sio Jangwani...
 
Duuh! Eti pisi zikufuate PM 😳 lol

Mgeni mwenyeji weye.
 
Back
Top Bottom