Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewee mkaldayo
Hapa nilipo naruka ruka kwa furaha. Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kuhangaika kutafuta. Punching the air violently and aggressively with jubilation.Jibu swali mchawi kalaba wewee?
Huko Dodoma huko? Yule kamishna wa polisi, yule wa Basata, Elga. Je wanaokufa na hawajulikani ni wangapi? Hivi vifo vya ghafla hivi. Mungu awapumnzishe kwa amani.
Yaani ufipa malengo yao huwa madogo madogo tuu kupata mbunge mmoja wamekuwa satisfied kazi kweli kweli.Hapa nilipo naruka ruka kwa furaha. Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kuangaika kutafuta. Punching the air violently and aggressively with jubilation.
R. I. P
Dogo tuliza jazba tunaomboleza kumpoteza kada. Kuwa na staha japo kidogoYaani ufipa malengo yao huwa madogo madogo tuu kupata mbunge mmoja wamekuwa satisfied kazi kweli kweli.
Swaiiiiiiiin.
Kuna baadhi ya wabongo mna akili ziko kisiginoni mwa miguu na hamtumii vichwa hata kidogo,sijui hua hautembelei mahospitalini na majanga hayakukuti ktk familia yako nadhani,unaropoka tu ilihali hiyo Corona ilikuta magonjwa yanaua watu kila dakika hapa dunianiSerikali iwe makini ni wimbi la pili la ugonjwa wa Corona. Kwa maana hii uache kupuuzia.Vifo vya ghafla hivyo havina afya kabisa.
Kuna baadhi ya wabongo mna akili ziko kisiginoni mwa miguu na hamtumii vichwa hata kidogo,sijui hua hautembelei mahospitalini na majanga hayakukuti ktk familia yako nadhani,unaropoka tu ilihali hiyo Corona ilikuta magonjwa yanaua watu kila dakika hapa duniani
Kwahiyo?Kuna baadhi ya wabongo mna akili ziko kisiginoni mwa miguu na hamtumii vichwa hata kidogo,sijui hua hautembelei mahospitalini na majanga hayakukuti ktk familia yako nadhani,unaropoka tu ilihali hiyo Corona ilikuta magonjwa yanaua watu kila dakika hapa duniani
Magufuli alishinda?Dada yangu upo kweli zile tambo za lissu na kumpamba sana ziliishia wapi nilijua mneondoka wote ughaibuni maana ulisema akishinda Magu unahama nchi
Poleni wafiwa, but Tanzania kama taifa linalokua vijana anzeni pia kujikita kwenye masomo ya forensic medicine, mkiwa wengi mtasaidia taifa hili badae, KWA wenzetu vifo vya ghafla huchunguzwa KWA kina kujua chanzo na then husadia pia kusaidia walio hai kuepuka yale yaweza kuwasababishia aina ya kifo Kama hicho, katika jamii au taifa husika,Mwendazake Bi Egla Mamoto alikuwa Kiongozi wa CCM Jijini Dodoma.
Taarifa hii ya kushtukiza na kusikitisha zimeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo Disemba 27, 2020.
Tunatoa pole kwa familia na Chama kwa msiba huu mkubwa.
----
Aliyewahi kuwa Kaimu Katibu idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Egra Mamoto amefariki dunia.
Mamoto ambaye katika uchaguzi wa mwaka huu aligombea ubunge kupitia kundi la wazazi, amefariki katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma alikokimbizwa kwa matibabu baada ya kujisikia vibaya usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 27, 2020.
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifam Leonard Singo ametoa taarifa iliyoeleza kuwa Mamoto aliugua ghafla.
Singo amesema marehemu alikuwa hazina katika kipindi cha uhai wake na kuwa hakupenda kuona CCM kinashindwa katika uchaguzi wowote.
Katika uhai wake alikaimu Katibu wa uhamasishaji Taifa katika kipindi cha mwaka mmoja 2015/16 ambapo katika kipindi hicho alikuwa mjumbe wa Baraza Kuu la Vijana wa Uvccm.
Baadhi ya watu ambao wapo katika kundi moja la WhatsApp wamesema hadi saa nne usiku wa kuamkia leo Mamoto alikuwa akichati kwenye kundi hilo akiwatakia watu maisha mema na kumaliza mwaka salama.
Chanzo: Mwananchi