johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Poleni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5 tenaMwendazake Bi Egla Mamoto alikuwa Kiongozi wa CCM Jijini Dodoma.
Taarifa hii ya kushtukiza na kusikitisha zimeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo Disemba 27, 2020...
Covid 19 inafanya kazi kupunguza nzi wa kijani na kuwaondolea watanzania nuksi
Si niliwahi sikia kwamba kuna mbabe kaufukuzia mbali huo U covid-19 na kuna msaidizi mwingine alisema hata kama corona ikibaki lazima iishi kwa adabu! Any way awekwe anapostahiliApate pumziko la milele
Huko Dodoma huko? Yule kamishna wa polisi, yule wa Basata, Elga. Je wanaokufa na hawajulikani ni wangapi? Hivi vifo vya ghafla hivi. Mungu awapumnzishe kwa amani.
Mhhh inachekesha 😆😆Pumzika kwa amani Comrade,pengo lako kamwe halitozibika.🙏🙏🙏
Bado weweCOVID 19 inatumaliza kimya kimya.
PUMZIKA KWA AMANI DADA ENGLA MBELE YAKO NYUMA YETU.
IRP.
AhahahahaMhhh inachekesha 😆😆
Peleka ujinga wako hukoSerikali iwe makini ni wimbi la pili la ugonjwa wa Corona. Kwa maana hii uache kupuuzia.Vifo vya ghafla hivyo havina afya kabisa.
Juzi Kati mamsapu wangu ametoka Dom kwenye TAnga kufika kwao anasema anajisikia vibaya sana hawezi pumua vizuri ,Huko Dodoma huko? Yule kamishna wa polisi, yule wa Basata, Elga. Je wanaokufa na hawajulikani ni wangapi? Hivi vifo vya ghafla hivi. Mungu awapumnzishe kwa amani.
Kitambo kifupi tutasikia jamaa huyo, mafichoni Chato tena!
Mbona imevuja mapema sana!Ukiona wanaficha kutaja ugonjwa, basi jiongeze kujua ugonjwa husika.
Manabii na mitume wanaozurula na wanasiasa wanao uwezo kuizuia.Hata Kama Kuna Corona Nani ataweza kuizuia?
wewe umechukua hatua gani kujilinda na Corona?
Eti Mungu ameifanya Tanzania kuwa nchi pekee duniani isiyokuwa na covid 19!Huko Dodoma huko? Yule kamishna wa polisi, yule wa Basata, Elga. Je wanaokufa na hawajulikani ni wangapi? Hivi vifo vya ghafla hivi. Mungu awapumnzishe kwa amani.