TANZIA Kada Maarufu wa CCM Jijini Dodoma, Egra Mamoto afariki dunia ghafla

Wacha aendeleze uongo wake. Picha ya kanisani juzi wote waliokaa jirani yake inadaiwa waliondiolewa β€œsocial distancing” Sasa kama hakuna ugonjwa SD ni ya nini tena!?
Huko Dodoma huko? Yule kamishna wa polisi, yule wa Basata, Elga. Je wanaokufa na hawajulikani ni wangapi? Hivi vifo vya ghafla hivi. Mungu awapumnzishe kwa amani.
 
Picha wengine hatumfahamu, poleni wafiwa
 
Hapa nilipo naruka ruka kwa furaha. Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kuangaika kutafuta. Punching the air violently and aggressively with jubilation.

R. I. P
Yaani ufipa malengo yao huwa madogo madogo tuu kupata mbunge mmoja wamekuwa satisfied kazi kweli kweli.

Swaiiiiiiiin.
 
Nimependa, hapo anaposema kwamba hakupenda kuona CCM inashindwa kwenye uchaguzi wowote.
 
Serikali iwe makini ni wimbi la pili la ugonjwa wa Corona. Kwa maana hii uache kupuuzia.Vifo vya ghafla hivyo havina afya kabisa.
Kuna baadhi ya wabongo mna akili ziko kisiginoni mwa miguu na hamtumii vichwa hata kidogo,sijui hua hautembelei mahospitalini na majanga hayakukuti ktk familia yako nadhani,unaropoka tu ilihali hiyo Corona ilikuta magonjwa yanaua watu kila dakika hapa duniani
 

Acha ujinga wewe!! Facebook kila siku watu wanapost misiba ya ghafla tangia dec kuanza!! Tulipumzika kuanzia July mpaka Nov ila Dec vimeibuka upya!!
 
Kwahiyo?
 
Poleni wafiwa, but Tanzania kama taifa linalokua vijana anzeni pia kujikita kwenye masomo ya forensic medicine, mkiwa wengi mtasaidia taifa hili badae, KWA wenzetu vifo vya ghafla huchunguzwa KWA kina kujua chanzo na then husadia pia kusaidia walio hai kuepuka yale yaweza kuwasababishia aina ya kifo Kama hicho, katika jamii au taifa husika,
Mungu ampumzishe mahali pema peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…