Gentleman,
hili jamaa ni lofa,
kwanza nadhani sio mwanachama wa CCM ila ni mpenz au shabiki tu wa CCM na ndio maana hajaambatanisha account namba ya kadi yake kitu ambacho ni muhimu zaidi kupaswa kuwepo kwenye hiyo barua yake nonsense.
.
Lakini pia huenda huyo muungwana ni lofa kwasababu alionekana mara zote akiwa chadema ile ya g55, lakini ghafla pia akawa kwenye hii chadema masalia, huenda wamegundua hayuko timamu wakamnyima kadi na fursa alizokua anamendea huko.
Lakini gentleman,
huyu muungwana mara nyingi zaidi anaonekana yupo CHAUMMA, na haijulikani anatafuta nini huko labda ubwabwa au vinginevyo.
So,
kwa kifupi huyo ni kifuata upepo tu, na ukitaka kujiridhisha kidogo fuatilia kwa karibu na utagundua kwamba the gentleman has some mental health issues.
CCM haiwezi kua na mwanachama anaetangatanga kama huyo 🐒