GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni swala la kucheka na kioo chake! Ukweli ni kwamba hakuna mtu anyeijua sura yake, ukitaka kuamini endapo itatokea akasimamishwa mtu ambaye ni wew lazima utajiuliza sura hii nilisha wahi kuiyona wapi? Kumbe ni sura yako mwenyewe. Unajua historia ya kitabu hiki kimebeba ujumbe wa kihistoria hebu tupate muda wa kukikosoma, kuchambua na kuelewa ujumbe!
Wanabodi? Kumbukeni kwamba ulimi unavumilia harafu ya mdomo kwa kusahaulishwa na utamu wa chakula,, kila mtu anayo maoni yake na mapokeo, ikiwa kama ni haki kikatiba basi pia ni haki yake kikatiba,, Basi October mimi Nina tiki mitano tenaaaaaa.
 
Ndug. Davidilevi Nestory Kindikwa
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
KWIMBA, MWANZA

Kwa
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
Viwanja vya Nanenane Nzuguni
S.L. P 2851
DODOMA.

YAH: MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHETU CHA CCM KUKOSA SIFA

Tafadhali rejea somo la hapo juu.
Mimi ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Tawi la Nyamatala, wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza.

Nikiwa na wajibu wa kulinda Katiba, Kanuni na Sheria kama mwanachama wa CCM na kama raia mwenye na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natatandiki kuhusu mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa chama changu cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, kuwa haukuzingatia utaratibu wa kikatiba wa chama chetu, hivyo anakosa sifa za kuwa mgombea.
Mchakato wa upatikanaji wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama chetu tarehe 19 Januari, 2025 uliikuka katiba na kanuni za chama, haukuzingatia ushindani wa kidemokrasia ndani ya Chama chetu na pia uliikiuka kanuni muhimu ya mgogano wa kimaslahi kama ninavyofafanua hapa chini:-

1. Ukiukaji wa Katiba na Kanuni za Chama

a) Kwa kuzingatia Ibara ya 105(7)(b) ya Katiba ya CCM, Kamati Kuu ya chama inapasswa kufikiria na kuwasilisha kwa Halmashauri Kuu mapendekezo ya majina yasiyozidi matano (5) ya wanachama wa CCM kwa ajili ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama. Hatuu hii haikufanyika. Vina la Mh. Samia Suluhu Hassan haijawahi kupendekezwa na kikao chochote cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama chetu kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Badala yake, lilikubwa na kwenye mkutano mkuu.

b) Kwa kuzingatia Ibara ya 103(12)(b) ya Katiba ya CCM, Halmashauri Kuu ya chama inapasswa kufikiria na kuwasilisha mkutano mkuu wa Chama mapendekezo ya majina yasiyozidi matatu (3) ya wanachama wa CCM ili miingoni mwao kuchaguliwe mmoja kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hatua hii pia, ambayo ni takwa la kikatiba haikufanyika. Mh. Samia Suluhu Hassan hakuwahi kupendekezwa na Halmashauri Kuu kwa Mkutano Mkuu ili ateuliwe kuwa mgombea wa nafasi ya Urais. Zaidi, mpaka leo Halmashauri Kuu ya CCM taifa haijawahi kukaa na kupitia majina ya wanachama wa CCM wanaopendekezwa kwa Mkutano Mkuu kwa wagombea Urais.

c) Kifungu cha 7(2) cha Kanuni za Chama toleo la mwaka 2022 za Uteuzi wa wagombea uongozi katika vyombo vya dola zinaelekeza wagombea kuchunguzwa na Kamati ya Usalama na maadili. Uteuzi wa mgombea wetu Mh. Samia Suluhu Hassan haukuchunguzwa na vyombo hivi vya chama, hivyo kukiuka matakwa ya kanuni zetu.

d) Vikao vya Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CCM Taifa havikuketi na kuandaa ajenda wala utaratibu wa uchaguzi wa kumpata mgombea Urais jambo ambalo limekiuka Ibara ya 108(1)(d) ya Katiba ya Chama chetu.

e) Mgombea wa chama chetu CCM aliteuliwa bila kuchukua fomu ya kugombea na bila kupata wadhamini kwa mikoa 15 kama ambavyo Kanuni zetu za Uteuzi wa Wagombea Uongozi katika Vyombo vya Dola zinaelexeza. Aidha kifungu cha 6(4)(b) na (b) vinaeleza mgombea wa CCM wa nafasi ya kiti cha uchukuwa fomu na kupitishwa kwenye mchakato wa uteuzi wa vikao vya kitaifa ambavyo vina jukumu, wajibu na madaraka ya kuchunguza kwanza uadilifu na mwenendo wa mgombea.

Ni maoni yangu kuwa, ikiwa utaratibu wote huu uliukrwa, haukufuatwa, na mgombea wa chama chetu CCM kupatikana pasipo kuzingatia utaratibu huu wa kikatiba na kikanuni, basi ni wazi Katiba ya chama chetu iliivunjwa na hivyo mgombea aliyepatikana ni batili. Mgombea halali ni yule anayepatikana kwa kuzingatia utaratibu na masharti yaliyowekwa na Katiba pamoja na Kanuni za chama chetu.

2. Ukosefu wa Fursa ya Ushindani wa Kidemokrasia

Mgombea wa chama chetu alipatikana pasipo kuhusisha mchakato wa ndani ya chama wa uchaguzi. Mchakato wa kumpata mgombea haukuwahi kutangazwa. Hapakuwa na kalenda ya uchaguzi wala wanachama hawakupata fursa ya kuchukua fomu ili waweze kuomba nafasi hiyo.

Hii imekiuka Ibara ya 14(3) ya Katiba ya chama chetu, CCM inayotoa haki kwa kila mwanachama kuomba na kuchaguliwa na kuchagua. Wanachama wa CCM hawakupata nafasi ya kuomba nafasi ya mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ambavyo fursa hiyo imepatikana kwenye nafasi nyinginezo za Ubunge na Udiwani.

Kitendo cha chama kutokutoa nafasi kwa wanachama wote kuchukuwa fomu na kuomba, ni kitendo cha kiimla, kisichotoa nafasi ya ushindani wa kidemokrasia. Hatua ya chama chetu CCM kutoruhusu mchakato wa kuchukua fomu na kuomba nafasi hiyo, moja kwa moja kinasadifu kuwa wanachama wengine isipokuwa mmoja pekee ndani ya Chama, wenye nia ya kugombea nafasi hiyo, tulinyimwa kwa makusudi.

3. Mgongano wa Maslahi

Katika sheria, kuna kanuni kuwa hakimu hatakiwi kuwa mwamuzi wa kesi yake mwenyewe. Kanuni hii hutumika pia kwenye vikao vya taasisi za kisiasa kama hii ya chama chetu, ambapo mwenyekiti wa kikao hupisha mtu mwingine aendeshe kikao pale panapokuwa na hoja au ajenda ambayo yeye ni mnuafaika. Matalani, pale panapokuwa na uteuzi au uchaguzi ambao yeye ni miingoni mwa wagombea. Lakini, katika uteuzi wa mgombea urais wa chama chetu CCM, Mh. Samia Suluhu Hassan, kanuni hii haikuzingatiwa.

Kwa mujibu wa beteri za kidemokrasia, mtu mwenye maslahi, lazima apishe kikao kinachotoana jambo linalomhusu. Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan alionekana akiendesha kikao cha Mkutano Mkuu wa tarehe 19 Januari 2025 kilichomtua. Jambo hili lina mgongano wa kimaslahi wa moja kwa moja.

Kitendo cha Mh. Samia Suluhu Hassan kuendelea kukalia kiti cha mwenyekiti wakati wa ajenda ya kupitishwa kwake kuwa mgombea, kinamaanisha kuwa alitumia nafasi yake kusukuma ushawishi wa kimaamuzi ili ateuliwe kuwa mgombea jambo ambalo ni kinyume na misingi ya kanuni za uchaguzi na demokrasia ndani ya chama chetu. Ni imani yangu kuwa jambo hili pia, linaondoa uhalali utaratibu mzima wa uteuzi wa mgombea urais wa chama chetu.

Ndugu Msajili,

Kifungu cha 4(5)(b) kikisomwa pamoja na kifungu cha 6A(2) cha sheria ya Vyama vya Siasa sura ya 258 R.E 2019 vinaweka masharti na kuelekeza kuwa, chama cha siasa kinapaswa kueonesha kwa kuzingatia Katiba ya Nchi, Sheria za Nchi, Sheria ya Vyama vya Siasa, Katiba na Kanuni za chama husika. Vilevile, Msajili amepewa madaraka ya kufuatilia chaguzi na teuzi za ndani ya vyama ili kujiridhisha kama zimefuata na kuzingatia sheria na kanuni.

Kwa kuzingatia hoja hizo, ninaomba kwa kutumia madaraka uliyopewa na sheria kama nilivyosema hapo juu uelekeze mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chetu, Chama cha Mapinduzi, Mh. Samia Suluhu Hassan aondolewe na uelekeze mchakato wa upatikanaji wa mgombea Urais wa Chama chetu utakaofuata na kuzingatia Sheria, Katiba na Kanuni za Chama uanze upya.

Ni matumaini yangu hoja zangu zitazingatiwa na hatua kuchukuliwa.

Nakutakia utendaji mwema.

Kidumu Chama cha Mapinduzi

Wako,

Davidilevi Nestory Kindikwa
Mwanachama wa CCM
Kwimba, MWANZA

NAKALA:
Katibu Mkuu wa CCM Taifa (kwa taarifa)
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (kwa taarifa na hatua)View attachment 3448250View attachment 3448254View attachment 3448255
Nyumbu,hakutaja namba ya kadi yake.Nyumbu wanagangaika sana.
 
FB_IMG_1755796141124.jpg
 
Nyumbu hakutaja namba ya kadi.Barua feki

Nyumbu,hakuandika namba ya kadi ya chama.
ndio maana nasema huyo muungwana ni lofa,

kwasababu ameshaonekana ndani ya chadema g55 na hata kwenye hii chadema masalia,

Lakini pia mara nyingi zaidi ameonekana CHAUMMA, sasa unashindwa kuelewa anafuata ubwabwa au nini kwenye kila chama cha siasa humu nchini?

CCM haiwezi kua na mwanachama anaetangatanga kama huyo.
huenda ni mshabiki wa CCM ila sio mwanachama 🐒
 
🙋✍️🎯👍👏👊🤝🙏💐🎖️🛡️
 
hili litakua janachama lofa 🐒
Mkuu Tlaatlaah kuna kipindi ulidai wewe ni msomi. Kama ndivyo na ni kweli naamini unafahamu kuwa kanuni ya msingi ya kupinga hoja kisomi ni kwa hoja au utafiti.

Sasa wewe Tlaatlaah Inakuwaje umtukane gstar kuwa lofa!!! Huoni wewe ndiye lofa kiongozi kama sio mwandamizi???

Gentleman,
hili jamaa ni lofa,
kwanza nadhani sio mwanachama wa CCM ila ni mpenz au shabiki tu wa CCM na ndio maana hajaambatanisha account namba ya kadi yake kitu ambacho ni muhimu zaidi kupaswa kuwepo kwenye hiyo barua yake nonsense.
.
Lakini pia huenda huyo muungwana ni lofa kwasababu alionekana mara zote akiwa chadema ile ya g55, lakini ghafla pia akawa kwenye hii chadema masalia, huenda wamegundua hayuko timamu wakamnyima kadi na fursa alizokua anamendea huko.

Lakini gentleman,
huyu muungwana mara nyingi zaidi anaonekana yupo CHAUMMA, na haijulikani anatafuta nini huko labda ubwabwa au vinginevyo.

So,
kwa kifupi huyo ni kifuata upepo tu, na ukitaka kujiridhisha kidogo fuatilia kwa karibu na utagundua kwamba the gentleman has some mental health issues.
CCM haiwezi kua na mwanachama anaetangatanga kama huyo 🐒
 
Ndug. Davidilevi Nestory Kindikwa
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
KWIMBA, MWANZA

Kwa
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
Viwanja vya Nanenane Nzuguni
S.L. P 2851
DODOMA.

YAH: MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHETU CHA CCM KUKOSA SIFA

Tafadhali rejea somo la hapo juu.
Mimi ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Tawi la Nyamatala, wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza.

Nikiwa na wajibu wa kulinda Katiba, Kanuni na Sheria kama mwanachama wa CCM na kama raia mwenye na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natatandiki kuhusu mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa chama changu cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, kuwa haukuzingatia utaratibu wa kikatiba wa chama chetu, hivyo anakosa sifa za kuwa mgombea.
Mchakato wa upatikanaji wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama chetu tarehe 19 Januari, 2025 uliikuka katiba na kanuni za chama, haukuzingatia ushindani wa kidemokrasia ndani ya Chama chetu na pia uliikiuka kanuni muhimu ya mgogano wa kimaslahi kama ninavyofafanua hapa chini:-

1. Ukiukaji wa Katiba na Kanuni za Chama

a) Kwa kuzingatia Ibara ya 105(7)(b) ya Katiba ya CCM, Kamati Kuu ya chama inapasswa kufikiria na kuwasilisha kwa Halmashauri Kuu mapendekezo ya majina yasiyozidi matano (5) ya wanachama wa CCM kwa ajili ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama. Hatuu hii haikufanyika. Vina la Mh. Samia Suluhu Hassan haijawahi kupendekezwa na kikao chochote cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama chetu kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Badala yake, lilikubwa na kwenye mkutano mkuu.

b) Kwa kuzingatia Ibara ya 103(12)(b) ya Katiba ya CCM, Halmashauri Kuu ya chama inapasswa kufikiria na kuwasilisha mkutano mkuu wa Chama mapendekezo ya majina yasiyozidi matatu (3) ya wanachama wa CCM ili miingoni mwao kuchaguliwe mmoja kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hatua hii pia, ambayo ni takwa la kikatiba haikufanyika. Mh. Samia Suluhu Hassan hakuwahi kupendekezwa na Halmashauri Kuu kwa Mkutano Mkuu ili ateuliwe kuwa mgombea wa nafasi ya Urais. Zaidi, mpaka leo Halmashauri Kuu ya CCM taifa haijawahi kukaa na kupitia majina ya wanachama wa CCM wanaopendekezwa kwa Mkutano Mkuu kwa wagombea Urais.

c) Kifungu cha 7(2) cha Kanuni za Chama toleo la mwaka 2022 za Uteuzi wa wagombea uongozi katika vyombo vya dola zinaelekeza wagombea kuchunguzwa na Kamati ya Usalama na maadili. Uteuzi wa mgombea wetu Mh. Samia Suluhu Hassan haukuchunguzwa na vyombo hivi vya chama, hivyo kukiuka matakwa ya kanuni zetu.

d) Vikao vya Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CCM Taifa havikuketi na kuandaa ajenda wala utaratibu wa uchaguzi wa kumpata mgombea Urais jambo ambalo limekiuka Ibara ya 108(1)(d) ya Katiba ya Chama chetu.

e) Mgombea wa chama chetu CCM aliteuliwa bila kuchukua fomu ya kugombea na bila kupata wadhamini kwa mikoa 15 kama ambavyo Kanuni zetu za Uteuzi wa Wagombea Uongozi katika Vyombo vya Dola zinaelexeza. Aidha kifungu cha 6(4)(b) na (b) vinaeleza mgombea wa CCM wa nafasi ya kiti cha uchukuwa fomu na kupitishwa kwenye mchakato wa uteuzi wa vikao vya kitaifa ambavyo vina jukumu, wajibu na madaraka ya kuchunguza kwanza uadilifu na mwenendo wa mgombea.

Ni maoni yangu kuwa, ikiwa utaratibu wote huu uliukrwa, haukufuatwa, na mgombea wa chama chetu CCM kupatikana pasipo kuzingatia utaratibu huu wa kikatiba na kikanuni, basi ni wazi Katiba ya chama chetu iliivunjwa na hivyo mgombea aliyepatikana ni batili. Mgombea halali ni yule anayepatikana kwa kuzingatia utaratibu na masharti yaliyowekwa na Katiba pamoja na Kanuni za chama chetu.

2. Ukosefu wa Fursa ya Ushindani wa Kidemokrasia

Mgombea wa chama chetu alipatikana pasipo kuhusisha mchakato wa ndani ya chama wa uchaguzi. Mchakato wa kumpata mgombea haukuwahi kutangazwa. Hapakuwa na kalenda ya uchaguzi wala wanachama hawakupata fursa ya kuchukua fomu ili waweze kuomba nafasi hiyo.

Hii imekiuka Ibara ya 14(3) ya Katiba ya chama chetu, CCM inayotoa haki kwa kila mwanachama kuomba na kuchaguliwa na kuchagua. Wanachama wa CCM hawakupata nafasi ya kuomba nafasi ya mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ambavyo fursa hiyo imepatikana kwenye nafasi nyinginezo za Ubunge na Udiwani.

Kitendo cha chama kutokutoa nafasi kwa wanachama wote kuchukuwa fomu na kuomba, ni kitendo cha kiimla, kisichotoa nafasi ya ushindani wa kidemokrasia. Hatua ya chama chetu CCM kutoruhusu mchakato wa kuchukua fomu na kuomba nafasi hiyo, moja kwa moja kinasadifu kuwa wanachama wengine isipokuwa mmoja pekee ndani ya Chama, wenye nia ya kugombea nafasi hiyo, tulinyimwa kwa makusudi.

3. Mgongano wa Maslahi

Katika sheria, kuna kanuni kuwa hakimu hatakiwi kuwa mwamuzi wa kesi yake mwenyewe. Kanuni hii hutumika pia kwenye vikao vya taasisi za kisiasa kama hii ya chama chetu, ambapo mwenyekiti wa kikao hupisha mtu mwingine aendeshe kikao pale panapokuwa na hoja au ajenda ambayo yeye ni mnuafaika. Matalani, pale panapokuwa na uteuzi au uchaguzi ambao yeye ni miingoni mwa wagombea. Lakini, katika uteuzi wa mgombea urais wa chama chetu CCM, Mh. Samia Suluhu Hassan, kanuni hii haikuzingatiwa.

Kwa mujibu wa beteri za kidemokrasia, mtu mwenye maslahi, lazima apishe kikao kinachotoana jambo linalomhusu. Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan alionekana akiendesha kikao cha Mkutano Mkuu wa tarehe 19 Januari 2025 kilichomtua. Jambo hili lina mgongano wa kimaslahi wa moja kwa moja.

Kitendo cha Mh. Samia Suluhu Hassan kuendelea kukalia kiti cha mwenyekiti wakati wa ajenda ya kupitishwa kwake kuwa mgombea, kinamaanisha kuwa alitumia nafasi yake kusukuma ushawishi wa kimaamuzi ili ateuliwe kuwa mgombea jambo ambalo ni kinyume na misingi ya kanuni za uchaguzi na demokrasia ndani ya chama chetu. Ni imani yangu kuwa jambo hili pia, linaondoa uhalali utaratibu mzima wa uteuzi wa mgombea urais wa chama chetu.

Ndugu Msajili,

Kifungu cha 4(5)(b) kikisomwa pamoja na kifungu cha 6A(2) cha sheria ya Vyama vya Siasa sura ya 258 R.E 2019 vinaweka masharti na kuelekeza kuwa, chama cha siasa kinapaswa kueonesha kwa kuzingatia Katiba ya Nchi, Sheria za Nchi, Sheria ya Vyama vya Siasa, Katiba na Kanuni za chama husika. Vilevile, Msajili amepewa madaraka ya kufuatilia chaguzi na teuzi za ndani ya vyama ili kujiridhisha kama zimefuata na kuzingatia sheria na kanuni.

Kwa kuzingatia hoja hizo, ninaomba kwa kutumia madaraka uliyopewa na sheria kama nilivyosema hapo juu uelekeze mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chetu, Chama cha Mapinduzi, Mh. Samia Suluhu Hassan aondolewe na uelekeze mchakato wa upatikanaji wa mgombea Urais wa Chama chetu utakaofuata na kuzingatia Sheria, Katiba na Kanuni za Chama uanze upya.

Ni matumaini yangu hoja zangu zitazingatiwa na hatua kuchukuliwa.

Nakutakia utendaji mwema.

Kidumu Chama cha Mapinduzi

Wako,

Davidilevi Nestory Kindikwa
Mwanachama wa CCM
Kwimba, MWANZA

NAKALA:
Katibu Mkuu wa CCM Taifa (kwa taarifa)
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (kwa taarifa na hatua)View attachment 3448250View attachment 3448254View attachment 3448255
Barua haina namba ya kadi ya chama,namba ya mwanachama.Nyumbu tumieni akili,mambo mengi mnakosea,nyuzi zenu mnatufanya tulionuna,tucheke.
 
Hapa msajili atapita kama anaaga maiti.
 
Kosa kubwa la kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 38 amekwepesha makusudi.

Null and Void
 
ndio maana nasema huyo muungwana ni lofa,

kwasababu ameshaonekana ndani ya chadema g55 na hata kwenye hii chadema masalia,

Lakini pia mara nyingi zaidi ameonekana CHAUMMA, sasa unashindwa kuelewa anafuata ubwabwa au nini kwenye kila chama cha siasa humu nchini?

CCM haiwezi kua na mwanachama anaetangatanga kama huyo.
huenda ni mshabiki wa CCM ila sio mwanachama 🐒
Huu ndio ukweli,ndio maana nikamuita nyumbu,nyumbu hawajielewi.
 
Back
Top Bottom