Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtaalamu wa Teknolojia ya Habari, Elias Mdao, leo Jumamosi tarehe 28 Juni 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Mdao amechukua fomu hiyo majira ya saa tano asubuhi katika ofisi za CCM Wilaya ya Kongwa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Mdao amesema uamuzi wake umetokana na msukumo wa muda mrefu wa kutaka kuongeza tija mpya katika kuharakisha maendeleo ya Jimbo hilo.