elias mdao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM Elias Mdao achukua fomu kuwani Ubunge jimbo la Kongwa

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtaalamu wa Teknolojia ya Habari, Elias Mdao, leo Jumamosi tarehe 28 Juni 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Mdao amechukua fomu hiyo majira ya saa tano asubuhi...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM Elias Mdao ajitosa kuwania ubunge Jimbo la Kongwa

    Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Elias Mdao, ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu ujao, akieleza dhamira yake ya kulihudumia taifa kupitia jimbo hilo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dodoma, Mdao amesema atachukua fomu pindi dirisha...
Back
Top Bottom