Kada wa CCM: Serikali imejenga mochwari ya kisasa yenye vyoo, sio kawaida

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.

Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.

Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"

Unafurahia vyoo vya monchwari mkuu? Mara yako ya mwisho kufarahia Barbara nzuri iso na mashimo ni lini?, au maji safi na salama mara yako ya mwisho kufarahia hayo mambo ni lini?.😎😎😎😎😎
 
Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.

Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.

Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"

🫡 TANGANYIKA
 
Hii nchi ina mijitu ya ovyo sana.
 
Hivi sifa kuu ya kuwa kada wa veggies, ni utahira na uchizi au?
Mie nachoka kwa kweli. Khaaah
Sifa kubwa ya kuwa mbogamboga ni kuwa na mdomo na kuvaa guo la rangi ya veggies mkuu. Wala huhitaji kuwa na akili. Hata ukiwa umekatwa kichwa lakini kiwiliwili kikawa kimevaa guo la kijani, tayari wewe ni kada maarufu.
 
Wakazi wa Haydom hawaamini kwamba kuna hospital kubwa kuliko Haydom. Yaani hata Haydom yenyewe ikimpa mgonjwa rufaa anaamini ni wamegoma kumtibu.

Tz hatuna exposure. Mbona mochwari nyingi zina vyoo ila huyu anasema kwake hiyo ni ya kwanza, pengine hajui kwamba kuna hospitali zaidi ya hiyo.
 
Sifa kubwa ya kuwa mbogamboga ni kuwa na mdomo na kuvaa gyo la rangi ya veggies mkuu. Wala huhitaji kuwa na akili. Hata ukiwa umekatwa kichwa lakini kiwiliwili kikawa kimevaa guo la kijani, tayari wewe ni kada maarufu.
😂😂😂
 
Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.

Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.

Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"

Kuna mwenzake walimla na viboko juuu kwa hyo akae kwa kutuliza bichwa
 
Wanachoweza ni kujenga mochwari Kali na kununua mashine za kuchimbia makaburi ili kurahisisha kazi zao.
 
Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.

Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.

Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"

Duuh,wanakunya Marehemu!
 
Jamani hii ni aibu sana.
Shule hazina vyoo, madawati, majengo na waalimu wa kutosha,...

Marehemu hawali wala hawanyi.
 
Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.

Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.

Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"

Yaani CCM kwa kuwa mlipeleka majeruhi mochuari Oct 29, mmeona muwajengee na vyoo kabisa ili wasijisaidie huko mochuari.
 
Back
Top Bottom