Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Unafurahia vyoo vya monchwari mkuu? Mara yako ya mwisho kufarahia Barbara nzuri iso na mashimo ni lini?, au maji safi na salama mara yako ya mwisho kufarahia hayo mambo ni lini?.πππππMimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"
π«‘ TANGANYIKAKada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.
Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.
Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"
Hii nchi ina mijitu ya ovyo sana.Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.
Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.
Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"
Sifa kubwa ya kuwa mbogamboga ni kuwa na mdomo na kuvaa guo la rangi ya veggies mkuu. Wala huhitaji kuwa na akili. Hata ukiwa umekatwa kichwa lakini kiwiliwili kikawa kimevaa guo la kijani, tayari wewe ni kada maarufu.Hivi sifa kuu ya kuwa kada wa veggies, ni utahira na uchizi au?
Mie nachoka kwa kweli. Khaaah
πππSifa kubwa ya kuwa mbogamboga ni kuwa na mdomo na kuvaa gyo la rangi ya veggies mkuu. Wala huhitaji kuwa na akili. Hata ukiwa umekatwa kichwa lakini kiwiliwili kikawa kimevaa guo la kijani, tayari wewe ni kada maarufu.
Sema weweππKama ulikua na mpango wa kuchekesha umefanikiwa, inachekesha sana
Kuna mwenzake walimla na viboko juuu kwa hyo akae kwa kutuliza bichwaKada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.
Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.
Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"
Duuh,wanakunya Marehemu!Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.
Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.
Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"
Jamani hii ni aibu sana.Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.
Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida katika mochwari nyingi.
Mimi mwenyekiti nimefurahi ndio kuikuta kuikuta mochwari ya kwanza kabisa ina vyoo yaani nchi hii ya kisasa mochwari ya kisasa inavyo iko hapa sawa eh yaani sio jambo la kawaida serikali inajenga mochwari ya kisasa kabisa inaweka na vyoo sio kawaida yaani wewe huoni kitu cha hatari hiki ndugu yangu alafu wewe mwenzetu eh serikali inafanya mambo makubwa mwenzetu unatuchukulia kisiasa siasa sisi hatupo kwenye siasa ndugu yangu yaani sisi saa hizi ni utekelezaji wa majukumu yetu"
Yaani CCM kwa kuwa mlipeleka majeruhi mochuari Oct 29, mmeona muwajengee na vyoo kabisa ili wasijisaidie huko mochuari.Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.