PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.

Mwita ambaye amezungumza na wanahabari Jijini Dar Es salaam leo Aprili 03, 2025, siku moja mara baada ya kuvuliwa nafasi yake ndani ya Chadema, amefikia hatua hiyo mara baada ya kuhoji uhalali wa Maria Sarungi kuhoji maamuzi ya Chama, akimtaja kuwa kama Mwenye Chama kwa namna ambavyo amekuwa akijihusisha moja kwa moja na maamuzi ya vikao halali vya Chadema.

"Kuna mtu anaitwa Maria Sarungi, kikao kimeitishwa na Katibu Mkuu, mimi sijui hata kama Maria ni mwanachama wa Chadema, mimi ni mwanachama na kadi yangu ni platnums, yeye aje atuambie kadi yake ni namba ngapi. Maria anapost Twitter anahoji kikao cha watia nia kimeitishwa na nani kwasababu viongozi wote wakuu wapo field, serious? Who is she?mtu anaishi Nairobi, anaogopa hata kuja kumzika baba yake leo anahoji mambo ya chama?" Amesema Mwita

Pia, Soma: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

Katika Hatua nyingine, Mwita kutokana na Mawasiliano yao yaliyovuja yakitokea kwenye kundi sogozi la WhatsApp, alionekana akiandika mara kadhaa "huyo Boss wao" ambapo amekiri kuwa aliyekuwa akimzungumzia kama "Boss wao" sio Mwenyekiti wa Chama Mhe. Tundu Lissu bali ni Maria Sarungi ambaye amemtaja kama Mtu mwenye rimoti ya kuendesha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Lisu piga kichwa... Bado wanapumua...
 
Sawa acha kiendeshwe na huyo mama ila wewe TOKA.
 
Tunasimamia kwenye HAKI na kuwaachia watoto na wajukuu wetu Tanzania iliyo BORA zaidi ya hii iliyojaa ZULUMA.
 
Bado hamjasema.... Gawaneni fito kila mtu afe na chake ...
 
Bora malaya kuliko tapeli na mwizi aliyetudanganya miaka yote.
Kelele zenu ukweli ni kwamba mirija imekatwa.

Huu msimamo wa NRNE ulisimamiwa na tapeli wenu tangu kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kama mradi mpya wa kupiga pesa kwa Samia lkn alipopigwa chini amekimbia na hajishughulishi na chama.

Lissu kawashika pabaya mnoo
Teh teh teh sasa umeingia kwenye 18 jambio la nyani lileeee linajionesha 😂😂😂😂😂😂

Huo mkusanyiko wa wahuni unaoongozwa na yule malaya msagaji wa Nairobi upo mwiaho wake na si mbali!!
 
Hivi tapeli wa kisiasa mmemficha wapi?
 
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.

Mwita ambaye amezungumza na wanahabari Jijini Dar Es salaam leo Aprili 03, 2025, siku moja mara baada ya kuvuliwa nafasi yake ndani ya Chadema, amefikia hatua hiyo mara baada ya kuhoji uhalali wa Maria Sarungi kuhoji maamuzi ya Chama, akimtaja kuwa kama Mwenye Chama kwa namna ambavyo amekuwa akijihusisha moja kwa moja na maamuzi ya vikao halali vya Chadema.

"Kuna mtu anaitwa Maria Sarungi, kikao kimeitishwa na Katibu Mkuu, mimi sijui hata kama Maria ni mwanachama wa Chadema, mimi ni mwanachama na kadi yangu ni platnums, yeye aje atuambie kadi yake ni namba ngapi. Maria anapost Twitter anahoji kikao cha watia nia kimeitishwa na nani kwasababu viongozi wote wakuu wapo field, serious? Who is she?mtu anaishi Nairobi, anaogopa hata kuja kumzika baba yake leo anahoji mambo ya chama?" Amesema Mwita

Pia, Soma: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

Katika Hatua nyingine, Mwita kutokana na Mawasiliano yao yaliyovuja yakitokea kwenye kundi sogozi la WhatsApp, alionekana akiandika mara kadhaa "huyo Boss wao" ambapo amekiri kuwa aliyekuwa akimzungumzia kama "Boss wao" sio Mwenyekiti wa Chama Mhe. Tundu Lissu bali ni Maria Sarungi ambaye amemtaja kama Mtu mwenye rimoti ya kuendesha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Chadema ni genge la wahuni lenye nia ovu na nchi hii, lakini HALITAFANIKIWA!!!
 
Kwangu hii haijakaa sawa, hiyo hoja ilitolewa kwenye vikao vya juu vya chama, inakuwaje sasa inaanza kuhojiwa huku chini? Mambo haya utayakuta tu upinzani, ccm unafukuzwa mara moja asubuhi tu
Kwa hiyo unataka Chadema iwe kama CCM? Ukitofautiana na Mkubwa unashughulikiwa? Ikiwa ni hivyo, kutakuwa na faida gani ya kubadilisha chama tawala?

Amandla...
 
Inategemea aina ya kutofautiana, ukimsikiliza mwita anadharau hata uongozi wenyewe uliopo sasa, hii sio sawa
 
Light materials must be shaken
Lisu ametangaza kushiriki Uchaguzi mkuu wa October kikamilifu,
na kwahivyo no reform no elections imekua useless, nonsense, null and void,

unaamua kuchukua uelekeo gani wewe binafsi kama mdau wa siasa gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom