w
Wapi dhana ya uwajibikaji wa pamoja bwana JuliusKwangu hii haijakaa sawa, hiyo hoja ilitolewa kwenye vikao vya juu vya chama, inakuwaje sasa inaanza kuhojiwa huku chini? Mambo haya utayakuta tu upinzani, ccm unafukuzwa mara moja asubuhi tu