Kwangu hii haijakaa sawa, hiyo hoja ilitolewa kwenye vikao vya juu vya chama, inakuwaje sasa inaanza kuhojiwa huku chini? Mambo haya utayakuta tu upinzani, ccm unafukuzwa mara moja asubuhi tu
Ukianza kuweka miongozo ya namna ya kutofautiana ndio unakaribisha udikteta. Muita kumdharau Lissu kunampunguzia nini Lissu? Mbona Lissu alikuwa na anaendelea kuwadharau viongozi wake na bado mnamkubali? Muacheni Mwita akosoe kwa stylisti yake. Mpingeni kwa hoja, sio vitisho.