Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
hakuna demokrasia chadema.Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili.
Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Kupinga kauli ya "No reform No election" pamoja na kudanganya umma kwa makusudi.
Wasikilize Watangazaji wa EFM hapa
PandikiziWawatimue wote wanaoenda kinyume na makubaliano ya chama
Tuseme watu wanatakiwa kujiandaa ili kugombea.hakuna demokrasia chadema.
akina sugu na aida hawaelewi huo utapeli no reform no elections ndio maana wametangaza kugombea ubunge kwenye majimbao yao. mbona isiwe tatizo kwao iwe shida kwa mtangaza nia Romanus?
wagombea uongozi tisho ndani ya vyama vya siasa hua wanapewa majina mengi sana yasio na maanaPandikizi
Chadema haiwezi kufa kwasababu ya kutoshiriki uchaguzi. Hiyo tafiti umeifanya wapi?Tuseme watu wanatakiwa kujiandaa ili kugombea.
Akija mtu na hadithi za Abunuasi za mitego, last minute eti uingie kwenye kinyanganyilo ni wazi performance yake itakuwa chini.
Bora kuwa muwazi kutoshiriki yaani kususia uchaguzi kijumla.
Ambayo nayo ina gharama za kukimaliza chama endapo vyama vingine vitashiriki na watatokea Chadema.
Kwanini isife?mbona vyama vingine vimeporomoka au kufa kabisa.Mtaji wa chama ni watu na michango yao.Chadema haiwezi kufa kwasababu ya kutoshiriki uchaguzi. Hiyo tafiti umeifanya wapi?
Samia aligombania na nani mpaka akapitishwa kuwa mgombea uraisi wa ccm 2025 pale dodoma? Katiba ya ccm inasemaje?hakuna demokrasia chadema.
akina sugu na aida hawaelewi huo utapeli no reform no elections ndio maana wametangaza kugombea ubunge kwenye majimbao yao. mbona isiwe tatizo kwao iwe shida kwa mtangaza nia Romanus?
Mbona Mrema hamumgusi?Wamshughulikie vizuri pamoja na wajinga wenzie
Kutangaza kugombea ni Moja, kupitishwa na chama kwa barua rasmi yaani kuidhinishwa ni kitu kingine.hakuna demokrasia chadema.
akina sugu na aida hawaelewi huo utapeli no reform no elections ndio maana wametangaza kugombea ubunge kwenye majimbao yao. mbona isiwe tatizo kwao iwe shida kwa mtangaza nia Romanus?
Sasa ana tishio gani huyowagombea uongozi tisho ndani ya vyama vya siasa hua wanapewa majina mengi sana yasio na maana
ni tishio kwa watia nia wengine wa urais ndani ya chademaSasa ana tishio gani huyo
kulikoni kuna taharuki na kubabaika kwingi ndani ya chadema dhidi ya mtu huyo kutangaza nia?Kutangaza kugombea ni Moja, kupitishwa na chama kwa barua rasmi yaani kuidhinishwa ni kitu kingine.
Anaweza kutangaza, ila kujidhinisha hawezi.
Sugu anajidanganya sana, chama ni kikubwa kuliko yeye!! Kama anataka kugombea aende ACT wazalendo!!
hakuna haja ya kuhamisha magoli kindezi hivyo gentlemanSamia aligombania na nani mpaka akapitishwa kuwa mgombea uraisi wa ccm 2025 pale dodoma? Katiba ya ccm inasemaje?
Jibu kama mwenye akili timamu
Bado wewe Popoma hunielewi.kulikoni kuna taharuki na kubabaika kwingi ndani ya chadema dhidi ya mtu huyo kutangaza nia?
kiwewe ndani ya chadema kinatoka wapi gentleman?
Yaani ,mpaka Viongozi wa dini wameelewa somo!!!No Reform no Election