Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
wewe ni mhazili mbumbu sina cha kukujibuna huyu Mchome mbona anawachoma sana Chadema HQ gentleman, kulikoni hasa?
na huyu Mwita hapo HQ kawavurugaje tena kwa kueleza ukweli?🐒
wewe ni mhazili mbumbu sina cha kukujibuna huyu Mchome mbona anawachoma sana Chadema HQ gentleman, kulikoni hasa?
na huyu Mwita hapo HQ kawavurugaje tena kwa kueleza ukweli?🐒
relax gentleman,wewe ni mhazili mbumbu sina cha kukujibu
haya mambo yalikuwepo tangu enzi za TANU soma vizuri historia za kina bibi titi na wenzake usi ropoke lama zuzu? unashangaa kina mchome na mapunda mbona hushangai ya kimbisa, nchimbi na sofia simba? au ulikuwa hujaja mjini badona huyu Mchome mbona anawachoma sana Chadema HQ gentleman, kulikoni hasa?
na huyu Mwita hapo HQ kawavurugaje tena kwa kueleza ukweli?🐒
Chadema kwa sasa haiwezi kufa Mwenyekiti aliopo anapendwa sana na wananchi wa kawaida kutokana nae alivyo sio mtu aliejirimbikizia kiufupi Lissu na wananchi wanaongea Lugha mojaKwanini isife?mbona vyama vingine vimeporomoka au kufa kabisa.Mtaji wa chama ni watu na michango yao.
Mangi ndio walikuwa wanaichangia bila kificho na bila kuchoka, wengine ni blabla za mtandao.
gentleman,haya mambo yalikuwepo tangu enzi za TANU soma vizuri historia za kina bibi titi na wenzake usi ropoke lama zuzu? unashangaa kina mchome na mapunda mbona hushangai ya kimbisa, nchimbi na sofia simba? au ulikuwa hujaja mjini bado