PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda, aliyetangaza kuwania urais, alimwa barua

PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda, aliyetangaza kuwania urais, alimwa barua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hakuna demokrasia chadema.

akina sugu na aida hawaelewi huo utapeli no reform no elections ndio maana wametangaza kugombea ubunge kwenye majimbao yao. mbona isiwe tatizo kwao iwe shida kwa mtangaza nia Romanus? :pedroP:
Atakayewania urais ni mmoja tu! Tundu Lissu kinyume na hapo unakuwa Msaliti katika chadema. No forum no erection ni mkakati wa urais tu hauhusu Ubunge na udiwani.

Kumbuka hata Mbowe kilichomponza ni kukubaliana na Samia Chadema imwachie urais.
 
yaan no reform no elections halafu nafasi ya kugombea uraisi Chadema ni ya huyo kibaka pekeyake?🤣

kumbe ndio maana anapuuzwa kila kona ndani ya Chadema, na kwamba hiyo agenda ya kitapeli ni unafiki wake binafsi?🐒
 
Bado wewe Popoma hunielewi.
Kwenye taasisi kunakuwa na msimamo wa Taasisi uliomuliwa rasmi.

Kwahiyo yeyote anayekwenda kinyume Cha No REFORMS NO ELECTION, kutaka kugombea anapotea,Nia hiyo anaweza timizaACT, CCM, CUF,NCCR na siyo CHADEMA kwa msimamo uliopo.

Ukiamua kutoa akili zako Toka "MIFUKO YA SURUALI YA NYUMA" utaelewa wazi Sugu anapingana na msimamo wa Chama.

Kwa mantiki hiyo yupo wrong place 😅😅😅
kwahivyo msimamo umewekwa kwa huyo Romanus pekeyake, lakin kwa sugu na aida kibaka wa kisiasa na matapeli wenzake wa no reform no elections wameufyata mkia right?

au wanagopwa sana aida na sugu?🤣
 
Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili.

Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

Kupinga kauli ya "No reform No election" pamoja na kudanganya umma kwa makusudi.

Wasikilize Watangazaji wa EFM hapa

CHADEMA NI CHAMA CHA KIDIKTETA HATARI SANA, KIACHIE WAGOMBEA WAJITOKEZE KUGOMBEA, CCM WAO KWA MAJIBU WA KATIBA YAO NI HAKI KWA RAIS ALIYEPO KUMALIZA AWAMU YAKE.
 
kwahivyo msimamo umewekwa kwa huyo Romanus pekeyake, lakin kwa sugu na aida kibaka wa kisiasa na matapeli wenzake wa no reform no elections wameufyata mkia right?

au wanagopwa sana aida na sugu?🤣
Sugu ni kama mfano, ila wote wanaotaka kugombea wanakwenda kinyume na msimamo wa chama!!

Wanaweza kuhamia vyama kama ACT wakagombee, CHADEMA hakuna atakayeidhinisha watu kugombea bila marekebisho ya sheria za uchaguzi!!
 
kwahiyo romanus na watia nia wengine ndio wanakwenda kinyume na msimamo wa chama zaidi hata walimwe barua?🤣

yaani kwavile huyo tapeli kajipima na kujitathimini kwamba hana pesa ya kampeni, wala hana sera za kuwadanganya wananchi akadhani wanachadema wote wanafikiri kama yeye?🤣
 
Chadema mpaka ije ikae sawa,watapita kwenye moto wa gesi sana,nimeona huko X walivyomshambulia John Mrema baada ya kuhoji Chama kukaa kimya baada ya kipigo cha yule mwenezi wa Bawacha
 
hakuna demokrasia chadema.

akina sugu na aida hawaelewi huo utapeli no reform no elections ndio maana wametangaza kugombea ubunge kwenye majimbao yao. mbona isiwe tatizo kwao iwe shida kwa mtangaza nia Romanus? :pedroP:
CCM mbona ilimtimua overnight kada wake maradufu Bw. Godfrey Malisa alipohoji kilichotokea katika mkutano wa CCM uliofanyika Januari mwaka huu?! Au kwenu hiyo ndiyo demokrasia?
 
hakuna demokrasia chadema.

akina sugu na aida hawaelewi huo utapeli no reform no elections ndio maana wametangaza kugombea ubunge kwenye majimbao yao. mbona isiwe tatizo kwao iwe shida kwa mtangaza nia Romanus? :pedroP:
Hilo la no reforms no election toka enzi za Mbowe.
 
wagombea uongozi tisho ndani ya vyama vya siasa hua wanapewa majina mengi sana yasio na maana :pedroP:
Huyu mapunda wewe unamfahamu lakini ? Nafikiri hujawahi kumuona na ukimuona tu utajua Ana tatizo mahala.
Usishabikie mambo usiyoyajua mkuu
 
Huyu mapunda wewe unamfahamu lakini ? Nafikiri hujawahi kumuona na ukimuona tu utajua Ana tatizo mahala.
Usishabikie mambo usiyoyajua mkuu
na huyu Mchome mbona anawachoma sana Chadema HQ gentleman, kulikoni hasa?

na huyu Mwita hapo HQ kawavurugaje tena kwa kueleza ukweli?🐒
 
Back
Top Bottom