Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

Kwahio unashauri wahandisi waombe katika wilaya mpya mpya ili wapate hizo furusa?.

Serikali inaubia nakampuni/viwanda vingi kwa nini isiwaombee katika hizo taasis au viwanda huko, ili wahandisi wakafanye kazi wanazozipenda?.
 
Duuu mwalimu wa physics afanye kazi kama Engineer.Kuweni serious basi na huyo DED wenu.
Engineering ni zaidi ya hiyo physics.
Yaana uache utamu wa designing, uache utamu wa site , uende ukawe Mwalimu Serikali iangalie namna yakusaidia vijana, labda kama wanatafuta wazalendo ili baadae wawahamishe.
 
Hakika unaweza ingia kwenye ualimu ukafia huko, huku ulihangaika na uhandisi umeme.
 
Hayo mambo yapo usiwe mbishi mdogo wangu, inaootokea hali Kama hiyo, huyo mwalim wa physics anakuwepo ofisini Kama kaimu tu ila wanaongea na wilaya ya Karibu kupata engeneer atakayekua anawasaidia kwa part time anapohitajika. Hali hii ilitokea sana baada ya uhakiki wa vyeti. Kama una engeneering omba mdogo wangu utanikumbuka.
Duuu mwalimu wa physics afanye kazi kama Engineer.Kuweni serious basi na huyo DED wenu.
Engineering ni zaidi ya hiyo physics.
 
Ngumu kumeza mkuu, lkn nashauri mtu kama hana kazi heri aombe. L
 
Uliza vizuri suali lako mkuu.
Nimefika sehemu ya College education mkuu mimi nimesoma engineering je najaza nini? Kinachoonekana ni Certificate in Primary Education
Diploma in Secondary Education
Diploma in Primary Education
Degree
 
Hii IPO sana, kuna baadhi ya wilaya zinachukua walimu wa hesabu kuwa wahasibu
 
Hivi mwalimu mwenye Diploma ya Arts na Science wanatofautiana msharaha hata kama wameajiliwa siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…