Kada ya ualimu mbona mmetusahau?

Kada ya ualimu mbona mmetusahau?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Toka sekretarieti ya ajira imesitisha kufanya interview kada ya ualimu mbona hamna kipya wala taarifa yeyote tuliyopewa it's like tupo gizani kisa.

Hatuna cha kuwafanya naombeni utumishi na serikali muwe na ubinadamu mbona afya mmewaajiri?
 
Kama una GPA chini ya 3 itakuwa ngumu kukumbukwa, labda uwe mtu wa ibada sana.
 
Kumbe "waki"? Hapo sawa comments yako ilikuwa straight sana kama wewe ndio katibu mkuu wa utumishi

Acha kuwapotosha watu GPA haitatumika kuwaajiri walimu usaili upo kama kawa
Usaili,??? Utasubiri embe chini ya mbuyu
 
Back
Top Bottom