Kada ya ualimu mbona mmetusahau?

Kada ya ualimu mbona mmetusahau?

Toka sekretarieti ya ajira imesitisha kufanya interview kada ya ualimu mbona hamna kipya wala taarifa yeyote tuliyopewa it's like tupo gizani kisa.

Hatuna cha kuwafanya naombeni utumishi na serikali muwe na ubinadamu mbona afya mmewaajiri?
Ninyi wenyewe mmejirahisisha kwa kuwa makuadi wa siasa za uchaguzi, subirini 2025 mkaibe maboksi ya kura bandia na kuengua wapinzani, mmeua profesheni
 
Back
Top Bottom