Kada ya ualimu mbona mmetusahau?

Kada ya ualimu mbona mmetusahau?

Anahitajika mwalimu wa English and literature
Chemistry and physics
Chemistry and biology
 
Soma interview unatakiwa kupata sio chini 90% uende kwenye oral interview na hapo hujafanya practical interview ....Uchaguzi ukipita tu unaendwa kukandwa utakuja kulia hapa paper haieleweki umepewa muda wa kujiandaa vizuri ww unaona mwingiiiii.
 
Kwamba Utumishi wamesimisha interview kisa Uchaguzi pole!
 
Soma interview unatakiwa kupata sio chini 90% uende kwenye oral interview na hapo hujafanya practical interview ....Uchaguzi ukipita tu unaendwa kukandwa utakuja kulia hapa paper haieleweki umepewa muda wa kujiandaa vizuri ww unaona mwingiiiii.
Hakuna uhusiano wa uchaguzi na usaili wa walimu. Dont be fooled.
 
Utumishi wangekua wanasoma humu...

Ningeshauri walimu wapimwe darasani(jinsi mwalimu anavyoweza kutumia teaching methodology)...

Waondoe oral, kwa mwalimu oral interview ni uonevu...

Haiwezekani panelist aniulize ghafla swali kutoka topic za kidato cha tatu nishindwe kujibu nionekane sifai kua mwalimu...

Nashauri tupewe topic, tuandae somo tuingie darasani...

Msaili aangalie ninavyofundisha, akikuta nina mapungufu nakua nimefeli usaili.
 
Toka sekretarieti ya ajira imesitisha kufanya interview kada ya ualimu mbona hamna kipya wala taarifa yeyote tuliyopewa it's like tupo gizani kisa.

Hatuna cha kuwafanya naombeni utumishi na serikali muwe na ubinadamu mbona afya mmewaajir
Tulia nyie hamuwezi kuajiriwa wote serikalini tafuteni cha kufanya mpendwa! Ukiwa busy na mambo yako ya kufanya huwezi kuwaza mambo haya ya ajira
Watu wanadanganyana kwamba usaili umefutwa hilo ni jambo ambalo haliwezekani na halijawahi kufanyika na utumishi habari za ajira ni mambo ya kisiasa kwaiyo mwakani kuanzia January au February ndio watatoa ajira ila suala la kuajiri bila interview kwa utumishi hio kitu hamna. Na anaesema wanaajiri bila interview amepata wapi taarifa maana serikali ilichosema ni kwamba imesitisha ila itatangaza tena mda wa interview.na utumishi wanakawaida ya kusitisha interview baadae wakaitisha Tena na kama wangefanya bila interview wangetoa mwongozo maana mpaka muda huu kama ni kuselect majina taari washachagua bado tu kutangazwa. Kwaiyo mtu akikuambia Amna interview ni uongo na utapeli
 
Toka sekretarieti ya ajira imesitisha kufanya interview kada ya ualimu mbona hamna kipya wala taarifa yeyote tuliyopewa it's like tupo gizani kisa.

Hatuna cha kuwafanya naombeni utumishi na serikali muwe na ubinadamu mbona afya mmewaajiri?
Yani hapo kua mpole ndugu mpaka January au February maana hizi ni siasa ila interview ipo 100% kama huamini subiria utaona huu mwezi wa 12 ukipita bila hayo majina ambayo watu wanasema yatatoka bila interview. Utumishi kauli mbiu yao ni kuajiri kwa interview maana afya pia wamefanyiwa na walio feli wameachwa kwaiyo ww mwalimu ni Nani hasa uajiriwe bila interview na wenzio wamefanya?
 
Baada ya pdf ntakukumbusha hii comment yako
 
Back
Top Bottom