KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
- Thread starter
-
- #141
Wewe ni fisadi na mtetezi wa ufisadi na posts zako ndizo zinaonesha hapa. Sio mimi nilikulazimisha utetee ufisadi hapa JF. Au yale uliyosema to urge with people.
kwa vile mimi sioni mioyo ya watu bali maandishi yao hapa, nimekuita fisadi kwa kadri ya maandishi yako hapa ya kifisadi na utetezi wa ufisadi.
mgaya mie nilitoka kidogo ! unajua nini ! wewe mzee naomba utulie hawa niachie mie ! wewe kama utaona vipi uchune, niwashughulikie ! na nishawaambia asikimbie mtu hapa leo !
kama karata basi mimi jokeri wao mavi ! wanajua karata ya mavi inaingia mara ngapi ndani ya jokeri ? hawajui ! sasa subiri ninao hawa !
Mbowe ahojiwe !
blah blah ! acha kutype pumba zako ili upunguze global warming !
hii thread sijaja kubip, nilishafunga mkanda !
Hujaanza leo kujifunga mikanda na ufisadi wako
usikimbie tu hapa leo ! na kutapatapa kwako huko ! ushajitia aibu tupu dogo ! kwa kuwa umelikoroga lazima ulinywe !
kwi kwi kwi..
wa kukimbia hapa ni wewe. mara ohh nilikuwa nimetoka kidogo mara ohhh nimepata picha ya MBowe. FIsadi mkubwa nani akukimbie wewe?
jokeri mie wewe ushajijua nani ! butty camp mbona mtajazana humu ! najua mmezaliana kama uduvi, tatizo ni kujileta tu humu !
viroja... ushatoka kwenye mada yako mwenyewe uliyoanzisha. Usicheze na JF.
nakuhesabia tu misemo na picha utakazowekwa hapa. Unatia aibu na huruma sasa.
profesa Rudigo hajambo ? nasikia anakufagilia sana kule butty camp sana sana wewe butty boy, ni kweli ? naskia wanataka wakuuze kwa kuwa umejifunza kutype na kutumia mtandao !
Kadampinzani said:Nini kinachotakiwa kifanyike:
(a) Kwa kuwa mbowe ana uhakika kwamba ccm imewaua hao watu, basi afikishwe kwenye vyombo vya dola na kuhojiwa ili kutoa ushahidi mzima.
(b) Kutokana na ushahidi atakaotoa, hao wafuatiliaji waweze kulinganisha na hali halisi ya matukio yaliyotokea ili kupata ukweli !
Naamini Mbowe atakuwa anajua zaidi ya hayo aliyosema, hivyo ahojiwe ili kupatikana ukweli !
Jamani whats the beef, Kada anataka vyombo vya dola kumuhoji Mbowe; Wakimaliza kumuhoji watuletee taarifa hapa. Mchezo umekwisha. Sisi tusonge mbele kumkoma Nyani Giladi.
Jamani whats the beef, Kada anataka vyombo vya dola kumuhoji Mbowe; Wakimaliza kumuhoji watuletee taarifa hapa. Mchezo umekwisha. Sisi tusonge mbele kumkoma Nyani Giladi.
sasa watu wanaleta frustrations zao hapa, hata sijui kama walielewa nilichosema lakini wakaamua kudandia treni kwa mbele, na kulikoroga na kilichobaki ni lazima alinywe au atangaze hadharani hapa JF kwamba amelishindwa kulinywa !
Kuendelea kumkoma nyani atakomwa, lakini hawa wanafunzi wa butty camp wanaojazana humu na kuongeza global warming watapigwa vidochi kama kada hawafahamu !
Mbowe akikataa kuhojiwa kwa hiari iweje, akamatwe?
Nilishawaambia huko ccm mumhoji na kumshitaki mbowe kama kuna ubavu huo.
Zaidi naendelea kukuchezesha kama pele vile...
hesabu inaendelea... nane...
either tutajua ni mropokaji !
anapakaza ili kujinufaisha kisiasa
anataka mafisadi waendelee kuuliwa huku ufisadi ukishamiri na watz wakiendelea kufa
au ana mtindio wa akili !
Swali muhimu sana hili... mimi ningeshauri akamatwe ili kazi ianze.
Nakupongeza kada mpinzani kwa hoja yako namimi. Nakuunga mkonokwamba Mbowe ahojiwe na wala sio swala la kumchukia huyo ni kiongozi wa chama kikubwa cha siasa.
Hivyo kauli yake una ushawishi mkubwa mbele ya wanachama wake na wananchi kwa ujumla. Ili kukomesha kauli hizo kwa maana yeye anawatambua wauwaji wa viongozi hao aisaidie polisi kwa kuwataja wauwaji hao ili waweze kukamatwa na kufikishwa kwenye mbele ya sheria nakupongeza sana.