Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

Status
Not open for further replies.
Wewe ni fisadi na mtetezi wa ufisadi na posts zako ndizo zinaonesha hapa. Sio mimi nilikulazimisha utetee ufisadi hapa JF. Au yale uliyosema to urge with people.

kwa vile mimi sioni mioyo ya watu bali maandishi yao hapa, nimekuita fisadi kwa kadri ya maandishi yako hapa ya kifisadi na utetezi wa ufisadi.

blah blah ! acha kutype pumba zako ili upunguze global warming !
 
mgaya mie nilitoka kidogo ! unajua nini ! wewe mzee naomba utulie hawa niachie mie ! wewe kama utaona vipi uchune, niwashughulikie ! na nishawaambia asikimbie mtu hapa leo !

kama karata basi mimi jokeri wao mavi ! wanajua karata ya mavi inaingia mara ngapi ndani ya jokeri ? hawajui ! sasa subiri ninao hawa !

Mbowe ahojiwe !

KUna watu hapa wanaweza kujiita jokeri na sio wewe.

Mimi hapa nafurahi vile unavyozidi kujianika ufisadi wako mwenyewe. Maana sasa hutakuwa na yale ya kusema kuwa watu wasome posts zako sijui za mwaka gani.

Mimi nakusubiria tu hapa hadi kieleweke. Usijekuishiiwa na kuanza kubandika picha na vimisemo badala ya hoja kama kawaida yako ukiishiwa hoja hapa.

Hata mimi nakuunga mkono kuwa MBowe ahojiwe na kushitakiwa ili angalau wezi na mafisadi wa ccm watoe statements zao kwenye wizi wa BOT na kifo cha Ballali.
 
usikimbie tu hapa leo ! na kutapatapa kwako huko ! ushajitia aibu tupu dogo ! kwa kuwa umelikoroga lazima ulinywe !

kwi kwi kwi..

wa kukimbia hapa ni wewe. mara ohh nilikuwa nimetoka kidogo mara ohhh nimepata picha ya MBowe. FIsadi mkubwa nani akukimbie wewe?
 
kwi kwi kwi..

wa kukimbia hapa ni wewe. mara ohh nilikuwa nimetoka kidogo mara ohhh nimepata picha ya MBowe. FIsadi mkubwa nani akukimbie wewe?

jokeri mie wewe ushajijua nani ! butty camp mbona mtajazana humu ! najua mmezaliana kama uduvi, tatizo ni kujileta tu humu !
 
jokeri mie wewe ushajijua nani ! butty camp mbona mtajazana humu ! najua mmezaliana kama uduvi, tatizo ni kujileta tu humu !

viroja... ushatoka kwenye mada yako mwenyewe uliyoanzisha. Usicheze na JF.

nakuhesabia tu misemo na picha utakazowekwa hapa. Unatia aibu na huruma sasa.
 
viroja... ushatoka kwenye mada yako mwenyewe uliyoanzisha. Usicheze na JF.

nakuhesabia tu misemo na picha utakazowekwa hapa. Unatia aibu na huruma sasa.

profesa Rudigo hajambo ? nasikia anakufagilia sana kule butty camp sana sana wewe butty boy, ni kweli ? naskia wanataka wakuuze kwa kuwa umejifunza kutype na kutumia mtandao !
 
profesa Rudigo hajambo ? nasikia anakufagilia sana kule butty camp sana sana wewe butty boy, ni kweli ? naskia wanataka wakuuze kwa kuwa umejifunza kutype na kutumia mtandao !

Fisadi kaishiwa.

Wamekuahidi nini ukifikisha posts elfu tano?
 
Kadampinzani said:
Nini kinachotakiwa kifanyike:

(a) Kwa kuwa mbowe ana uhakika kwamba ccm imewaua hao watu, basi afikishwe kwenye vyombo vya dola na kuhojiwa ili kutoa ushahidi mzima.

(b) Kutokana na ushahidi atakaotoa, hao wafuatiliaji waweze kulinganisha na hali halisi ya matukio yaliyotokea ili kupata ukweli !

Naamini Mbowe atakuwa anajua zaidi ya hayo aliyosema, hivyo ahojiwe ili kupatikana ukweli !

Jamani whats the beef, Kada anataka vyombo vya dola kumuhoji Mbowe; Wakimaliza kumuhoji watuletee taarifa hapa. Mchezo umekwisha. Sisi tusonge mbele kumkoma Nyani Giladi.
 
Jamani whats the beef, Kada anataka vyombo vya dola kumuhoji Mbowe; Wakimaliza kumuhoji watuletee taarifa hapa. Mchezo umekwisha. Sisi tusonge mbele kumkoma Nyani Giladi.

sasa watu wanaleta frustrations zao hapa, hata sijui kama walielewa nilichosema lakini wakaamua kudandia treni kwa mbele, na kulikoroga na kilichobaki ni lazima alinywe au atangaze hadharani hapa JF kwamba amelishindwa kulinywa !

Kuendelea kumkoma nyani atakomwa, lakini hawa wanafunzi wa butty camp wanaojazana humu na kuongeza global warming watapigwa vidochi kama kada hawafahamu !
 
Jamani whats the beef, Kada anataka vyombo vya dola kumuhoji Mbowe; Wakimaliza kumuhoji watuletee taarifa hapa. Mchezo umekwisha. Sisi tusonge mbele kumkoma Nyani Giladi.

Mbowe akikataa kuhojiwa kwa hiari iweje, akamatwe?
 
sasa watu wanaleta frustrations zao hapa, hata sijui kama walielewa nilichosema lakini wakaamua kudandia treni kwa mbele, na kulikoroga na kilichobaki ni lazima alinywe au atangaze hadharani hapa JF kwamba amelishindwa kulinywa !

Kuendelea kumkoma nyani atakomwa, lakini hawa wanafunzi wa butty camp wanaojazana humu na kuongeza global warming watapigwa vidochi kama kada hawafahamu !

Nilishawaambia huko ccm mumhoji na kumshitaki mbowe kama kuna ubavu huo.

Zaidi naendelea kukuchezesha kama pele vile...

hesabu inaendelea... nane...
 
Nilishawaambia huko ccm mumhoji na kumshitaki mbowe kama kuna ubavu huo.

Zaidi naendelea kukuchezesha kama pele vile...

hesabu inaendelea... nane...

mbona usharushwa mpira wa kona na watu wanakugombania, baada ya hapo unatupwa butty camp ! mwalimu wako booty man anakusubiri huko !
 
either tutajua ni mropokaji !
anapakaza ili kujinufaisha kisiasa
anataka mafisadi waendelee kuuliwa huku ufisadi ukishamiri na watz wakiendelea kufa
au ana mtindio wa akili !

mafisadi hakuna chochote mnachojua zaidi ya kuiba mali za wananchi. Mwenye ubavu amhoji Mbowe..... nane....
 
Swali muhimu sana hili... mimi ningeshauri akamatwe ili kazi ianze.

Unadhani wale vijana waliokamatwa kwa kumuita Mkapa fisadi ilkuwa ni sawa?

Ulichukua mwelekeo gani katika ule mjadala?
 
Serikali inatakiwa kutenda haki kwa raia wake wote wawe wa upinzani au wa chama tawala. Kama wanashindwa kuwakamata wezi wa mabillioni ya EPA na wengineo hawawezi kumkamata raia yoyote ambaye hajavunja sheria.

Ushahidi mkubwa upo kwa wale waliojiuzulu lakini serikali inasuasua tu utafikiri tunaongozwa na vipofu au majuha wasiojua jua linachomoza wapi.
 
Nakupongeza kada mpinzani kwa hoja yako namimi. Nakuunga mkonokwamba Mbowe ahojiwe na wala sio swala la kumchukia huyo ni kiongozi wa chama kikubwa cha siasa.

Hivyo kauli yake una ushawishi mkubwa mbele ya wanachama wake na wananchi kwa ujumla. Ili kukomesha kauli hizo kwa maana yeye anawatambua wauwaji wa viongozi hao aisaidie polisi kwa kuwataja wauwaji hao ili waweze kukamatwa na kufikishwa kwenye mbele ya sheria nakupongeza sana.

Hawajahojiwa mafisadi wa shilingi bilioni 288 na Kiwira Coal Mining akiwamo fisadi Mkapa na huku miezi inakatika, lakini mnataka Mbowe aliyetoa kauli juzi ahojiwe!!!! Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu maana vipaumbele vya wengi wetu vimekaa kinyumenyume!!Wacha mafisadi waendelee kutufisadi maana wameshagundua hakuna cha kuwatisha. Siri kali inawaogopa eti wakikamatwa nchi italipuka, wananchi wengine bado wanawatetea mafisadi kwa nguvu zao zote eti kwa sababu tu ni wanachama wenzao wa chama cha mafisadi!!! Mwe! inasikitisha sana!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom